China Wapeleka ndege za Jeshi kwenye anga ya Taiwan

Kutozaa kunazuia vipi hizo mikasa au kuzaa kuna uhusiano gani na hayo matokeo ulotaja
Wewe Russia Sasa Hivi hawana banks pesa zote USA wamechukua na uk .Imagine unaamka asubuhi pesa yote bank huna utakula nini na Russia huwezi kutuma pesa wala kuingia usa wamewabana Russia kiuchumi
 
Kwa hiyo ukiwa hujazaa itakusaidia vipi USA na UK wakichukua hela zako?
 
USA own 95 percent world bank huwezi kuchukua pesa zao . Actually wanafikiri a kutoa urusi from global economy .Boris johnson is in it means Russians won’t be able to do do any transaction remember USA own internet
 
Hapo ni kumchanganya Mmarekani tu.
745ED9A3-6326-486E-A2E3-734BF075D05B.jpeg

Kiboko ya Putin hapo kashaogopa anataka mazungumzo
 
Mafahari wapiganago..zinazoteseka ni nyasi...hii Vita yajayo yatatufurahisha sisi masikini.
 
USA own 95 percent world bank huwezi kuchukua pesa zao . Actually wanafikiri a kutoa urusi from global economy .Boris johnson is in it means Russians won’t be able to do do any transaction remember USA own internet
Na hapo ndipo MTU mwenye akili Israel alipokaa katika mhimili yote ya USA kuna waisrael nawaza Kwa saut sijui wanapanga mpango gani Hawa jamaa USA
 
Mara Uganda nao wanachukua mingingo hujaka sawa Somalia anachukua pwani ya lamu ile unatafakari Malawi nae anaweka mawe ya mpaka ipinda unawaza ufanyaje Zenji anavunja muungano duh!
Ujakaa sawa mara Kenya wanachukua Kilimanjaro.
 
Na hapo ndipo MTU mwenye akili Israel alipokaa katika mhimili yote ya USA kuna waisrael nawaza Kwa saut sijui wanapanga mpango gani Hawa jamaa USA
4B3BF6A2-0421-4218-864E-0121330CC6A5.jpeg

USA aki kutoa hapo umekwisha .Boris Anasema Russia need to be destroyed financially
 
Hapo kabla ya kuijadili urusi juu ya uvamizi wa ukrain,kwanza NATO wajadili kwanza chokochoko hizi za china kwa Taiwan. Yaani NATO imekuwa sigara ya nyota putin anavuta mbele na nyuna.
 
Trump alisema NATO na UN are useless .Wapo wapi Yaani Putin ame piga bomu hospitali ya watoto .
 
Kutozaa kunazuia vipi hizo mikasa au kuzaa kuna uhusiano gani na hayo matokeo ulotaja
Uchumi mkuu,unachukulia poa najua lakini " Balance of trade" sisi dunia ya tatu" tunaitwa hivo" tuna import zaidi tens sana n.k

Kwa rika langu watoto ni wadogo mama umri umeenda, ndio maana nawaza,nitakimbia nao wapi hawa wote!!! Nimgekua mwenyewe ,ha haha liwalo na liwe in the mid of 30's nna nguvu na mbinu ila sasa watoto wangu duh kuamsha nao.

Uliza RAIA wa Goma Congo,Rwanda ,Burundi utajua uchungu wa kupoteza ndugu na marafiki
 
Back
Top Bottom