mbaghato chaka
JF-Expert Member
- Jun 6, 2021
- 521
- 664
Sawa najua uchungu wa kupoteza ndugu na watoto, so kutokana na huo uchungu ni bora tuache kuzaa? Hata usipozaa ndugu yako yoyte atakutia tu uchungu likitokea lakutokea, huwezi acha kuzaa kwa hofu ineza tokea vita ndugu yangu, kifo kipo tu hata nje ya vita utakufa. Hivo ni lazima tu tuzaaneUchumi mkuu,unachukulia poa najua lakini " Balance of trade" sisi dunia ya tatu" tunaitwa hivo" tuna import zaidi tens sana n.k
Kwa rika langu watoto ni wadogo mama umri umeenda, ndio maana nawaza,nitakimbia nao wapi hawa wote!!! Nimgekua mwenyewe ,ha haha liwalo na liwe in the mid of 30's nna nguvu na mbinu ila sasa watoto wangu duh kuamsha nao.
Uliza RAIA wa Goma Congo,Rwanda ,Burundi utajua uchungu wa kupoteza ndugu na marafiki