China Wapeleka ndege za Jeshi kwenye anga ya Taiwan

Sawa najua uchungu wa kupoteza ndugu na watoto, so kutokana na huo uchungu ni bora tuache kuzaa? Hata usipozaa ndugu yako yoyte atakutia tu uchungu likitokea lakutokea, huwezi acha kuzaa kwa hofu ineza tokea vita ndugu yangu, kifo kipo tu hata nje ya vita utakufa. Hivo ni lazima tu tuzaane
 
Wewe Russia Sasa Hivi hawana banks pesa zote USA wamechukua na uk .Imagine unaamka asubuhi pesa yote bank huna utakula nini na Russia huwezi kutuma pesa wala kuingia usa wamewabana Russia kiuchumi
Hao warusi mbona wanachapa tu pesa za dola ya usa na paund na kuzitumia sokoni
 
Nchi Masikini Zinaenda Kupitia Katika Hali Ngumu Zaidi Ya Kiuchumi.
Hakuna umaskini popote duniani, ujinga wa watu ndio umaskini wao. Tusipobadili fikra zetu, nchi nyingi za kiafrika zitajipeleka utumwani zenyewe.
 
China kama hajapata somo kutoka Russia zidi ya Ukraine basi na yeye ajiandae kudhalilika.
 
Hii balaa, Nothern Korea naye karusha kombola kwenye bahari ya Southern Korea. Huu mtego anayetafutwa ni USA na wenzake. Uzuri hizi Nuclear warhead ziko kalikuletedi watwangane

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kwangu naona nchi maskini sasa zinaenda kuimarika uchumi wao kama watakuwa focused.
Nchi hizi za kiafrika hazijawahi kuwaza kujitegemea nje na misaada, yaani hatuoni fursa kwenye hili ila tunaona wafadhili wetu hawatakuwepo. Upuuuzi kabisa. Ujinga na ulimbukeni wa kupitiliza

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
China hawana ubavu wa vita..twenyewe tujsnhajanja tu...hayo mambo wamuachie mrusi...kama mbwai mbwai tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…