Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Vita vya dunia vinaanzaga na chokochoko kama hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajeshi wa china wapo baharini wanakata mauno feni kama akina agrey na kurusha vimissile vyao baharini huku wakisonya na vidole juu wakati bibi nancy yupo hawakuthubutu kurusha hata unywele.Muda huu tayar jamaa wanaishambulia Taiwan kutokea mashariki mwa nchi hiyo zipo video mtandaoni vimechukuliwa na wataiwani wenyew kuonyesha missiles za China zikishambulia
Taiwan sio mtoto. Taiwan kamuacha mbali sana Ukraine kiuchumi, technology,jeshi, etc,etcWatoto wadogo Taiwan nao eti wanajitutumua ngoja tuone itakuwaje!
Nalog off Z
Ona kinachowatokea Ukraine sasa hivi, marekani ni hypocrisy mmoja tu asiyeaminika tena.Hakuna Vita hapo.
Marekani wanafuatilia kila hatua ya mazoezi hayo na wameshatuma ndege Yao ya upelelezi RC-135 ipo eneo hilo inafatilia kila kitu
Hizo missiles za kurusha baharini hata North Korea anarusha kila uchwao.Mkuu tayar umesharusha missiles za kutosha mashariki mwa Taiwan ngoja nitafute ile video niweke hapa
Hata juzi Mchina alizileata kuwa ataishambulia Taiwan na Pelosi ikiwa ziara itafamywa mwisho wa siku umeona nani mbabe.Hizi story mlizileta sana hata wakati wa Ukraine inazungukwa na Baba Russia, saivi mmeanza tena.
Acha nae huyo,anataka kufuta ile aibu ya juziAmeishambulia miji ya town au anarusha baharini..!?
Kurusha ndege tu? Muache arushe ndege, China haibebi Taiwan.Ona kinachowatokea Ukraine sasa hivi, marekani ni hypocrisy mmoja tu asiyeaminika tena.
Wewe unaandika hivi huko taiwan wenzako wapo tumbo joto sababu china anazidi kupitisha ndege jeshi katikati ta taiwan.
Taiwan na Ukraine ni vitu viwili tofauti. Sidhani kama Marekani walikua na Sera ya kuilinda Ukraine endapo itavamiwa na nchi nyingine pia hata kijeshi Taiwan yupo vizuri ana zana nzuri za West huwez fananisha na Ukraine alikua na silaha za enzi ya Usovieti mpaka nchi za magharibi zilizopoanza kupeleka silaha za kisasa kama HIMARS mashambulizi ya Urusi yamepungua hata Ile Kasi ya kuteka miji imepunguaOna kinachowatokea Ukraine sasa hivi, marekani ni hypocrisy mmoja tu asiyeaminika tena.
Wewe unaandika hivi huko taiwan wenzako wapo tumbo joto sababu china anazidi kupitisha ndege jeshi katikati ta taiwan.
Waombe radhi US. Javeline, HIMARS n.k zote ni silaha za zamani. Zikipelekwa mpya amini kuwa Russia hapatakalika.Taiwan na Ukraine ni vitu viwili tofauti. Sidhani kama Marekani walikua na Sera ya kuilinda Ukraine endapo itavamiwa na nchi nyingine pia hata kijeshi Taiwan yupo vizuri ana zana nzuri za West huwez fananisha na Ukraine alikua na silaha za enzi ya Usovieti mpaka nchi za magharibi zilizopoanza kupeleka silaha za kisasa kama HIMARS mashambulizi ya Urusi yamepungua hata Ile Kasi ya kuteka miji imepungua
Wakati mwingine tujifunze kuweka akiba ya maneno - kwani unafikiri Wachina na Warusi hawana GPS/GLONNAS guided rockets/shells Systems a.k.a. HIMARS ambazo ni bora zaidi kuliko hizo za Wamerikani au Uingereza. Mfano: ya Warusi inajulikana kama Tornado 9A52-4 ina lenga kwa shabaha zaidi (bull's eye), inabeba mara mbili idadi ya roketi zinazo bebwa na HIMARS, na range yake vile vile ni mara mbili na kikubwa zaidi Warusi hata Wachina wanazo maelfu ya silaha hizo na sio za kuokoteza kuokoteza kama za Zelensky.Macho ya America yapo pale,ikirushwa hata gurunet moja,ikaingia Taiwan,aisee hayo ma HIMMARS,mbona Mchina atalia,yeye amuache Urusi apigane tu kule,asiombee yamkute nayeye.
Akili zenu ndogo sana kisiwa cha taiwani kamwe akiwezi kushinda vita na china hata kama usa atapeleka askari mil2 pale watakufa kirahisi sana tofauti na ukraine ...jiografia ya kisiwa hicho ni vigumu kupigana na china ....Macho ya America yapo pale,ikirushwa hata gurunet moja,ikaingia Taiwan,aisee hayo ma HIMMARS,mbona Mchina atalia,yeye amuache Urusi apigane tu kule,asiombee yamkute nayeye.
Usa hana jeuri ya kuishinda china kwa namna yoyote hapo taiwani huo ndoyo ukweli ..anaye bisha ....mtanikumbukq kama china ikiamua kupiga kwa kuichukua taiwani mtashangaa .Uchina inarusha mawe ovyoovyo tu
Nalog off Z
Mimi nawahurumia wa Marekani maana wachina siyo waarabuWatoto wadogo Taiwan nao eti wanajitutumua ngoja tuone itakuwaje!
Nalog off Z