China yafuta kodi zote kwa bidhaa ziingiazo kutoka Africa kasoro kwa nchi ya Eswatini

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
9,818
Reaction score
14,585
China imetangaza kuwa itaondoa ushuru wote kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi 53 za Afrika ambazo ina mahusiano ya kidiplomasia nazo, ikiruhusu bidhaa hizo kuingia China bila ushuru wa uagizaji, na sera hii itaanza kutumika Mei 2026.

Eswatini haipo kwenye mpango huu kwa vile ina uhusiano na Taiwan

20260215_080559.jpg

==================================

Beijing’s scrapping of tariffs for all but one African country will start May 1, Chinese President Xi Jinping said Saturday, according to state media.

China already has a zero-tariff policy for imports from 33 African countries, but Beijing said last year it would extend the policy to all 53 of its diplomatic partners on the continent.

China is Africa’s largest trading partner and a key backer of major infrastructure projects in the region through its vast “Belt and Road” initiative.

From May 1, zero levies will apply to all African countries except Eswatini, which maintains diplomatic relations with Taiwan.

China claims the democratic island as its own and does not rule out using force to take it.

Many African countries are increasingly looking to China and other trading partners since US President Donald Trump imposed steep tariffs worldwide last year.

Source: Hongkong Free Press
 
Jambo zuri.Nje ya mada wachina rudini mchukue watoto wenu mliotelekeza Dodoma yani kuna wagogo-wachina wengi.

Tukirudi kwenye mada,wachina sio watu wazuri wakimbieni kadri muwezavyo.Anachokitafuta sasa ni kujihakikishia umilikaji kama zilivyokuwa tawala za kale baada ya hapo mateso yanafuata.Afrika hepukeni misaada,hepuka vitongo visivyo na msingi,tumieni vitu vyenu kujikomboa.
 
Vitu vya bure si vya kuchekea! Wanaingia kijanja sana, wako huru wamepitiliza kuna mitaa ukiingia ni kama wako kwao, kkoo wamerundikana wanatengeneza bidhaa zao wakiwa huku! Binafsi siwakubali hao macho madogo!
 
Pamoja na ubaya wao, hiyo ni fursa zuri ya kuchangamkia kwa sasa.

Mzee Trump anaweka Tariffs Kila kukicha na huko Ulaya napo masharti Kibao angalau kuna soko kubwa linalotufaa Africa hapo China.
 
Washenzi watu watasanuka dakika za jioni.
 
Pamoja na ubaya wao, hiyo ni fursa zuri ya kuchangamkia kwa sasa.

Mzee Trump anaweka Tariffs Kila kukicha na huko Ulaya napo masharti Kibao angalau kuna soko kubwa linalotufaa Africa hapo China.
Yeah ni jambo zuri lakini namna wachina wanachanga karata zao naogopa.China mpaka sasa hataki kuonyesha upande wake hasi(anajitafuta bado na bado US nguvu anayo).Ukitaka kujua wachina ni watu sio fanya nao kazi(babu bora wazungu man)

Sema Afrika tujitambue man kwanini tunapenda vitonga sana?Hatupigi hatua man
 
Kila kitu tunategemea wageni waje kutufanyia! Wao kwa wao mbona hawaingiliani na hawasaidiani, wanakuja kutusaidia watu weusi tu? Kwamba hawapati faida kubwa ila wanatoa msaada?
 
Na wanazidi kujazana na kupanua miradi humu, wameshaona how stupid we are!
Ni wengi sahivi na wanakamata kila sehemu ya kupatia ridhiki.Ni hatari sema ngoja tuone.Hawa jamaa sio kabisa,niliwahi kufanya nao mitikasi jamaa ni manyoka wale,muhindi,mwarabu na kaburu wakasome.

China kama nchi inaweza kuwa poa lakini sio wachina man
 
Kila kitu tunategemea wageni waje kutufanyia! Wao kwa wao mbona hawaingiliani na hawasaidiani, wanakuja kutusaidia watu weusi tu? Kwamba hawapati faida kubwa ila wanatoa msaada?
Watu weusi tuna shida kubwa sana.Itatuchukua muda kuelewa lakini hawa jamaa hawana mpango wowote wa kuona mtu mweusi anapiga hatua.China anakufanyia msamaha wa kodi ndio,kwa bidhaa gani unapeleka china?maparachichi sijui,mapapai ushenzi mtupu.Hii gap atatumia kwenye imports zake pia ngoja tuone(hapa kuna kitu anatafuta sio bure)
 
Back
Top Bottom