Kyalow
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,563
- 2,614
Asante kwa ufafanuzi mkuu.Bidhaa nyingi za Africa zinazoenda China ni malighafi ambazo anazihitaji kwa hali na mali pamoja na aina za vyakula ambavyo hawazalishi kwa wingi.
Asante kwa ufafanuzi mkuu.Bidhaa nyingi za Africa zinazoenda China ni malighafi ambazo anazihitaji kwa hali na mali pamoja na aina za vyakula ambavyo hawazalishi kwa wingi.
Hii ni akili ya kitumwa tu. Mchina ndiye rafiki wa kweli. Hao unaowapigia debe hawana maana kabisaJambo zuri.Nje ya mada wachina rudini mchukue watoto wenu mliotelekeza Dodoma yani kuna wagogo-wachina wengi.
Tukirudi kwenye mada,wachina sio watu wazuri wakimbieni kadri muwezavyo.Anachokitafuta sasa ni kujihakikishia umilikaji kama zilivyokuwa tawala za kale baada ya hapo mateso yanafuata.Afrika hepukeni misaada,hepuka vitongo visivyo na msingi,tumieni vitu vyenu kujikomboa.
Kama huwakubali basi temgeneza wewe bidhaa hizo!!. Mchina haepukiki duniani, bora umzoee ili usije kuachwa kwenye platform ya maendeleo.Vitu vya bure si vya kuchekea! Wanaingia kijanja sana, wako huru wamepitiliza kuna mitaa ukiingia ni kama wako kwao, kkoo wamerundikana wanatengeneza bidhaa zao wakiwa huku! Binafsi siwakubali hao macho madogo!
Akili ya kitumwa ndio lakini wewe naye unayepamba mkate wa bure wa mchina wewe huko upande gani?Watu weusi mnashida kubwa.Hakuna anayekupenda sio mchina sio mzungu sio mwarabu.Hii ni akili ya kitumwa tu. Mchina ndiye rafiki wa kweli. Hao unaowapigia debe hawana maana kabisa
Mi tangu nione video mchina kamchoma mtu na gesi huko kenya sipendi ata kukutana nao njiani🙌🏾 Wna roho mbaya wanakufanyisha kazi monday to monday!Ni wengi sahivi na wanakamata kila sehemu ya kupatia ridhiki.Ni hatari sema ngoja tuone.Hawa jamaa sio kabisa,niliwahi kufanya nao mitikasi jamaa ni manyoka wale,muhindi,mwarabu na kaburu wakasome.
China kama nchi inaweza kuwa poa lakini sio wachina man
Lazima, maana vitu vingi wanaleta wao! Asilimia chache sana wana uhitaji na vitu vyetu na si lazima wapate kutoka kwetu basi tu!Watu weusi tuna shida kubwa sana.Itatuchukua muda kuelewa lakini hawa jamaa hawana mpango wowote wa kuona mtu mweusi anapiga hatua.China anakufanyia msamaha wa kodi ndio,kwa bidhaa gani unapeleka china?maparachichi sijui,mapapai ushenzi mtupu.Hii gap atatumia kwenye imports zake pia ngoja tuone(hapa kuna kitu anatafuta sio bure)
Siwapigii debe wazungu lakini kwenye mambo ya kupiga mitikasi wako poa sana(wazungu wa hii mitaa wana roho flani nyeupe,Australia na Canada)Mi tangu nione video mchina kamchoma mtu na gesi huko kenya sipendi ata kukutana nao njiani🙌🏾 Wna roho mbaya wanakufanyisha kazi monday to monday!
Uko sahihi kabisa hapa mkuuSiwapigii debe wazungu lakini kwenye mambo ya kupiga mitikasi wako poa sana(wazungu wa hii mitaa wana roho flani nyeupe,Australia na Canada)
Asee Wachina,Wahindi,Waarabu,Makaburu.Mtu mweusi kama unaweza wakimbie kwenye mitikasi yako
Ni kweli Kuna kitoto cha kichina hapa kiko form one kinaitwa ZEBEDAYO.Jambo zuri.Nje ya mada wachina rudini mchukue watoto wenu mliotelekeza Dodoma yani kuna wagogo-wachina wengi.
Tukirudi kwenye mada,wachina sio watu wazuri wakimbieni kadri muwezavyo.Anachokitafuta sasa ni kujihakikishia umilikaji kama zilivyokuwa tawala za kale baada ya hapo mateso yanafuata.Afrika hepukeni misaada,hepuka vitongo visivyo na msingi,tumieni vitu vyenu kujikomboa.
Nilikuwa navikuta vingi Veyula miaka ya nyuma kidogo sijui kama wachina waliwachukua wale watoto walikuwa wengiNi kweli Kuna kitoto cha kichina hapa kiko form one kinaitwa ZEBEDAYO.
Utapeli huuz afrika kunatoka bidhaa gani kwenda China😆😆😆China imetangaza kuwa itaondoa ushuru wote kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi 53 za Afrika ambazo ina mahusiano ya kidiplomasia nazo, ikiruhusu bidhaa hizo kuingia China bila ushuru wa uagizaji, na sera hii itaanza kutumika Mei 2026.
Eswatini haipo kwenye mpango huu kwa vile ina uhusiano na Taiwan
View attachment 3544172
==================================
Beijing’s scrapping of tariffs for all but one African country will start May 1, Chinese President Xi Jinping said Saturday, according to state media.
China already has a zero-tariff policy for imports from 33 African countries, but Beijing said last year it would extend the policy to all 53 of its diplomatic partners on the continent.
China is Africa’s largest trading partner and a key backer of major infrastructure projects in the region through its vast “Belt and Road” initiative.
From May 1, zero levies will apply to all African countries except Eswatini, which maintains diplomatic relations with Taiwan.
China claims the democratic island as its own and does not rule out using force to take it.
Many African countries are increasingly looking to China and other trading partners since US President Donald Trump imposed steep tariffs worldwide last year.
Source: Hongkong Free Press
Tayari China ina nguvu na Africa tayari ni koloni la China kiuchumi.China akipata nguvu, afrika itakuwa ni koloni la kwanza kwa mchina
Bado kuwa koloni rasmi, askari wa kwao, jeshi la kwao... kiongozi wetu wanaweka wao, kiongozi mkuu anatokea kwao, kma enzi zile kabla ya 9 december tuTayari China ina nguvu na Africa tayari ni koloni la China kiuchumi.
Hiyo sio modus operandi ya China na wala haiihtaji ukoloni wa aina hiyo kwa sababu utamuingizia gharama tu zisizo za ulazima. Shida ya China ni malighafi, rasilimali, soko la bidhaa zake za viwandani, mahali pa kuwekeza mtaji, ajira na kupunguzia population yake. Mambo haya yote anayapata kwa urahisi sana katika Africa ya sasa kwenye nchi yoyote kwa sababu ya Magharibi kurudi nyuma Africa . China hawahitaji kuingilia siasa zetu wala kuleta majeshi yao.Bado kuwa koloni rasmi, askari wa kwao, jeshi la kwao... kiongozi wetu wanaweka wao, kiongozi mkuu anatokea kwao, kma enzi zile kabla ya 9 december tu
🤣🤣Sasa kama viongozi wako wamelala usingizi unataka wachina nao walale?
Pamoja na ubaya wao, hiyo ni fursa zuri ya kuchangamkia kwa sasa.
Mzee Trump anaweka Tariffs Kila kukicha na huko Ulaya napo masharti Kibao angalau kuna soko kubwa linalotufaa Africa hapo China.