China yahimitisha zoezi la kushambulia bahari, wanajeshi kurudi makambini

🤣🤣🤣🤣😂
 
Uwezekanao wa PRC kuanzisha vita na ROC sio sasa hivi na PRC wamelikwepa hilo. Ila kwa mujibu wa CIA inawezekana kutokea 2025 .
- Tusubiri tuone maana vita ni mipango na sio kukurupuka na hata hivyo nao ROC mpaka 2025 watakuwa wamejipanga zaidi kukabiliana na PRC . Wacha tusubiri nani atamuwahi mwenzake kati ya PRC na ROC.
 
Marekani kushiriki vita ya PRC na ROC kwa kupeleka jeshi hicho kitu hawezi kufanya Ila kupeleka silaha ndio atafanya lakini sio kupeleka jeshi kuwasaidia ROC kupambana na PRC.
 

Yaan uwa mnaboa sana na uwezo wenu mkubwa wa kugeuza geuza maneno..
I'm sure mtu akidig comment zako kabla ujio wa Pelosi ndani Taiwan na unachokisema sasa ni vitu viwili tofauti.
Kwamba China haina matumizi ya mabavu!!.dah.
Then ndiye alitishia marekani asicheze na Moto, US haikusema chochote zaidi ya kusema Pelosi atatua ndani ya tawain.
 
Lete hio comment yangu?
Au unahisi mimi ni team China, na wewe ni team USA so tupo vitani?
Hiko ndio nilichokisema hapo juu, Ushabiki
Ushabiki unakufanya ujibu kishabiki bila hoja.
Beijing waliweka wazi kuwa ujio wa Nancy Taiwan ni hatarishi, kwanini?
Nchi 181 kati ya 191 ikiwemo Marekani zinaitambua Taiwan kama jimbo lingine la China, so Taiwan sio Nchi na haina uhuru binafsi
Hivyo hivyo Rais Nixon, 1979 aliahidi kuienzi hii One China Policy
So kilichotokea safari hii, ni ukiukwaji wa hii sera.
Na hii inatokea katikati ya mzozo wa Russia na Ukraine
Sawa sawa aje kiongozi mkubwa kutoka falme za kiaarabu afike zanzibar bila Magogoni kupata taarifa yoyote ya ndani ukiacha "Oya kiongozi wetu anakuja Zanzibar", Lazima Magogoni watilie mashaka
Kwanini? kwasababu Zanzibar ni sehemu ya Tanzania
 
Sio Marekani tu mkuu, siasa ndivyo ilivyo, inasukumwa na maslahi...
 
Hapa hatujadili kitimu, hapa tunajadili fact. Then ikiwa wewe una timu yako weka fact mbele si timu yako.
Fact ni kwamba China ilisema ataijibu vikali marekani endapo Pelosi akikanyaga Taiwan unachokiandika wewe hapa sio kile China iliwai kukisema.
 
Hapa hatujadili kitimu, hapa tunajadili fact. Then ikiwa wewe una timu yako weka fact mbele si timu yako.
Fact ni kwamba China ilisema ataijibu vikali marekani endapo Pelosi akikanyaga Taiwan unachokiandika wewe hapa sio kile China iliwai kukisema.
Wengi tulishangaa kwa Kaulit za ya China,ilikuwa ni kali sio mbali na tangazo la vita, ilishangaza wengi kuona haikufanya kama ilivyotamka.
 
Kwahiyo na wewe kwa akili yako China ataichukua Taiwan kwa njia soft?

China hatoichukia Taiwan iwe kwa njia ya amani ama vita huo ndo ukweli na China anaumia mno akifikiria kwamba hana namna ya kuichukua Taiwan.
Uwezekano wa njia soft upo acha ubishi uchumi mnono wa china ni kigezo, hata ...china inaweza kupandikiza watu wake wenye kuipenda china kama ilivyokuwa kwa ukraine kuna wakati viongozi walikuwa upande wa urussi figisu za USA zikasababisha kuja viongozi walio kinyume na urusi ...hivyo kuna mbinu nyingi sana ...kinachofanya taiwani hadi sasa kuto kurudi china ni USA tu ..na nyota ya USA inakwenda kufifia siku kwa siku na nguvu ya dola inakwenda kupotea shika haya maneno yangu
 
Si tuliaminishwa China ni super power now days .?
Iko hivi

Ogopa sana vita ya kiuchumi ndugu yangu vikwazo sio kazi ndogo

Hawa wachina wakutane na kitu hutakiwi kutumia swift na pia exim bank ipigwe kikwazo duniani

Lazima wachina waundondoshe ukomust hatutakuja kuusikia madarakani ile utabakia kwenye makaratasi
 
Wakati unachangia jambo usiwe unakunywa pembeni bia zenu local hizo umeandika nn
 
Wao si taifa kubwa lenye uchumi imara unaoifikia marekani wakiwashe. Tujue nani mbabe
 
Mwenyewe unaona umeandikaaaaaa[emoji51]
 
Wakati unachangia jambo usiwe unakunywa pembeni bia zenu local hizo umeandika nn
Sikia hii mbusiii ya ccm [emoji115]kweli ccm ni mafii kabisa[emoji90][emoji90][emoji90]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…