Always westernier are negative against othersKatika kile kinachoonekana kama kutumia nguvu kuulinda mfumo wa pesa usianguke mazima nchi ya Uchina imelazimika kuingiza vifaru vya kijeshi& wanajeshi waliojihami kwa siraha mtaani kuzizunguka bank ili kuwatisha wateja wa bank hizo zenye mgogoro toka mwezi April wasitoe pesa zao na kusababisha bank hizo kufilisika
Wajinga tena mkuuKuna wajinga watasema hii imesababishwa na westerners
Moja wapo hii ya walamba asali..hivi mtu mwenye akili timamu kweli atakua na nchi moja yenye serikali 2.Haya manchi ya kikomonisti ni bure kabisa
Habari za uongo . acha upotoshajiKatika kile kinachoonekana kama kutumia nguvu kuulinda mfumo wa pesa usianguke mazima nchi ya Uchina imelazimika kuingiza vifaru vya kijeshi& wanajeshi waliojihami kwa siraha mtaani kuzizunguka bank ili kuwatisha wateja wa bank hizo zenye mgogoro toka mwezi April wasitoe pesa zao na kusababisha bank hizo kufilisika
Wewe upo nchi gani ? Na je nchi yako inaifikia kwa lolote lile la kimaendeleo China. Au ndio inanuka umasikini tu.🤔Haya manchi ya kikomonisti ni bure kabisa
Watanzania wanairinganisha Tanzania na mataifa ya G7. Kwa iyo usishangae wachangiaji wa apa kujiona wapo Shenzen au CaliforniaKwa jiwe/mwamba/chuma ilikuwa kidogo yatokee kama hayo. Unakumbuka sakata ls sehemu za kubadilishia pesa?
Nimeamini kuna watuCIA, MOSSAD weusi/weupe/vibaraka/wanafiki/vibarua/wa-ramba viatu/vizabizabina wana tumiwa na Westerners kusambaza propaganda zao!!Kuna wajinga watasema hii imesababishwa na westerners
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Watanzania wanairinganisha Tanzania na mataifa ya G7. Kwa iyo usishangae wachangiaji wa apa kujiona wapo Shenzen au California
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Hii ni nini umeandikaNimeamini kuna watuCIA, MOSSAD weusi/weupe/vibaraka/wanafiki/vibarua/wa-ramba viatu/vizabizabina wana tumiwa na Westerners kusambaza propaganda zao!!
Tunajua mko Dunia nzima!! jamani! ma-idealist wa JF muwe macho km siyo kuwa makini sana na watu km hawa!...swali Utawajuaje hao sasa?
1. kwa Maneno yao! yaso tija kwa mweusi!
2.Kujipendekeza ktk kiwango cha kuji dhalilisha! mfano aweza itetea USA hadi ankatoa povu au akajifia!
3.wana visentesi vifupi vifupi vilivyo kolezwa wino ili kila mtu aone! pia asichoke kusoma!
4.wanatanguliza maneno ya kejeli/kujidharau kwa msomaji kwanza! ili kupoteza lengo lao!
5.Hawanaga majina ya Kibantu..km utambulisho wa avata zao!!
6.Huwaga hawajibu chochote hasa ukiwashambulia kuhusu walivyo! ...iukweli!
7. Ni wapoleee!.kwa asili hawanaga maneno mengi kwa kuwa wanaamini KGB inawawinda! popote!
8. wanatamani sana kupotezea weusi wasiunge mkono serikali ya Urusi!
9. kila mahali wana machale mnooo! .........
subiri wana JF muone kitu cha ajabu nataka niwaonyeshee hapa leo! ndo mjue kumbe computer waweza onana na unaye jibizana nae! lkn yeye asikutambue! km computer yako haina nitawawekea kitu muone!!
humu mie naonaga wengine wako uchi kabisaa! ! wengine wanaoga !! wengine wanashuka kufanya mambo yetu yale tena wakubwaaa! hee!ee! ndani ya daladala ndo wengi!
wengine huwa nawambia kabisa mahali alipo lkn anaangazia kwenye Gari humo humo!...mpaka wamefika mahali wanapeana jina la avatar yangu!! sasa huwaga najiuliza hivi hawa wabongo hawajui hii tech. ilivo au??
Sasa kupanga si kuchagua, wewe endelea kukomaa na dikteita Putin hakuna anayekukataza.Nimeamini kuna watuCIA, MOSSAD weusi/weupe/vibaraka/wanafiki/vibarua/wa-ramba viatu/vizabizabina wana tumiwa na Westerners kusambaza propaganda zao!!
Tunajua mko Dunia nzima!! jamani! ma-idealist wa JF muwe macho km siyo kuwa makini sana na watu km hawa!...swali Utawajuaje hao sasa?
1. kwa Maneno yao! yaso tija kwa mweusi!
2.Kujipendekeza ktk kiwango cha kuji dhalilisha! mfano aweza itetea USA hadi ankatoa povu au akajifia!
3.wana visentesi vifupi vifupi vilivyo kolezwa wino ili kila mtu aone! pia asichoke kusoma!
4.wanatanguliza maneno ya kejeli/kujidharau kwa msomaji kwanza! ili kupoteza lengo lao!
5.Hawanaga majina ya Kibantu..km utambulisho wa avata zao!!
6.Huwaga hawajibu chochote hasa ukiwashambulia kuhusu walivyo! ...iukweli!
7. Ni wapoleee!.kwa asili hawanaga maneno mengi kwa kuwa wanaamini KGB inawawinda! popote!
8. wanatamani sana kupotezea weusi wasiunge mkono serikali ya Urusi!
9. kila mahali wana machale mnooo! .........
subiri wana JF muone kitu cha ajabu nataka niwaonyeshee hapa leo! ndo mjue kumbe computer waweza onana na unaye jibizana nae! lkn yeye asikutambue! km computer yako haina nitawawekea kitu muone!!
humu mie naonaga wengine wako uchi kabisaa! ! wengine wanaoga !! wengine wanashuka kufanya mambo yetu yale tena wakubwaaa! hee!ee! ndani ya daladala ndo wengi!
wengine huwa nawambia kabisa mahali alipo lkn anaangazia kwenye Gari humo humo!...mpaka wamefika mahali wanapeana jina la avatar yangu!! sasa huwaga najiuliza hivi hawa wabongo hawajui hii tech. ilivo au??
Sisi tulisalimika baada ya yule dikteta wa mchongo kuuwawaHII NI BALAA AISEE YAANI