Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Haaahaa...miradi ya watu hiyo.Moja wapo hii ya walamba asali..hivi mtu mwenye akili timamu kweli atakua na nchi moja yenye serikali 2.
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaahaa...miradi ya watu hiyo.Moja wapo hii ya walamba asali..hivi mtu mwenye akili timamu kweli atakua na nchi moja yenye serikali 2.
#MaendeleoHayanaChama
Kwani sio Westerners Ni akina Nani Mana wao wamewashika masikio dunia nzima jamaniWajinga tena mkuu
futa utumbo huuNimeamini kuna watuCIA, MOSSAD weusi/weupe/vibaraka/wanafiki/vibarua/wa-ramba viatu/vizabizabina wana tumiwa na Westerners kusambaza propaganda zao!!
Tunajua mko Dunia nzima!! jamani! ma-idealist wa JF muwe macho km siyo kuwa makini sana na watu km hawa!...swali Utawajuaje hao sasa?
1. kwa Maneno yao! yaso tija kwa mweusi!
2.Kujipendekeza ktk kiwango cha kuji dhalilisha! mfano aweza itetea USA hadi ankatoa povu au akajifia!
3.wana visentesi vifupi vifupi vilivyo kolezwa wino ili kila mtu aone! pia asichoke kusoma!
4.wanatanguliza maneno ya kejeli/kujidharau kwa msomaji kwanza! ili kupoteza lengo lao!
5.Hawanaga majina ya Kibantu..km utambulisho wa avata zao!!
6.Huwaga hawajibu chochote hasa ukiwashambulia kuhusu walivyo! ...iukweli!
7. Ni wapoleee!.kwa asili hawanaga maneno mengi kwa kuwa wanaamini KGB inawawinda! popote!
8. wanatamani sana kupotezea weusi wasiunge mkono serikali ya Urusi!
9. kila mahali wana machale mnooo! .........
subiri wana JF muone kitu cha ajabu nataka niwaonyeshee hapa leo! ndo mjue kumbe computer waweza onana na unaye jibizana nae! lkn yeye asikutambue! km computer yako haina nitawawekea kitu muone!!
humu mie naonaga wengine wako uchi kabisaa! ! wengine wanaoga !! wengine wanashuka kufanya mambo yetu yale tena wakubwaaa! hee!ee! ndani ya daladala ndo wengi!
wengine huwa nawambia kabisa mahali alipo lkn anaangazia kwenye Gari humo humo!...mpaka wamefika mahali wanapeana jina la avatar yangu!! sasa huwaga najiuliza hivi hawa wabongo hawajui hii tech. ilivo au??
duh aiseeSisi tulisalimika baada ya yule dikteta wa mchongo kuuwawa
Kweli mkuu ni manchi ya kishenzi Sana,yanashindwa kujua kwamba soko ndio linaamua nini kuwepo na kipi kisiwepo sio kupangiwa na matumishi ambayo hayajui hata biashara ni nini.Haya manchi ya kikomonisti ni bure kabisa
kudadaaadeki!! ukiona hivi umenikubali!! weye subiri tunawaumbua soon! kuna watu kibao wameniona in box lkn weye ukija na avatara nyingine tu nakubamaba! ndo utajua kuumbe mambo iko huku!Yaani hapa unajiona una akili mingi kwelii.....
Kula kulala wewe ujui chochotekudadaaadeki!! ukiona hivi umenikubali!! weye subiri tunawaumbua soon! kuna watu kibao wameniona in box lkn weye ukija na avatara nyingine tu nakubamaba! ndo utajua kuumbe mambo iko huku!