Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Sent using My COVID-19
Nashkuru kwamba umerudi katika mstari ulionyooka nandio maana nikasema yakwamba US Hawazi Kama Mnavyowaza Nyie Kwamba Afunge Viwanda Vyake Vilivyopo UCHINA Kwakisingizio Cha Eti Kumkomoa UCHINA Hio Itakua Anajikomoa nayeye PiaVizuri unajua kwamba US anafaidi cheap labour ya mchina kutengeneza bidhaa zake huku akibakia zaidi na ubunifu wa high-tech products na udhibiti wa mfumo wa fedha duniani. Siku China ikifikia level hiyo ndipo mlinganisho wa mataifa hayo utakuwa na maana.
Bila shaka umesikia China nayo ina mpango wa kufikia stage ya US na kuhamishia uzalishaji wa viwanda Afrika. Sitarajii iwe karibuni. Kumbuka Marekani ni dunia; i wazi kwa “makabila” yote: inakusanya akili kubwa kibao toka kila pande za dunia ilhali uraia wa China ni kwa “kabila” la Han pekee.
Sent using My COVID-19