Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
watu wanajifanya kushabikia jamaa kujitoa kwa mashirika husika kishabiki bila kuelewa kama athari hasi zita mrejelea anaejitoa soon or later maana anawatengenezea watu mazingira yakuona kumbe wao wanaweza ishi bila fulani
Natamani ajitoe namashirika yote anayo fund mpunga mrefu yeye ili dunia ipate kua na usawa
Sent using My COVID-19
Wanadhani kua super power nilele mama[emoji16][emoji38]Ndio maana ya kua super power na hizi ndio gharama zake.,,sasa yeye aache kutoa fedha/aendelee kujifanya mbabe aone kama kuna nchi zitamuogopa.
Hivi nchi kama hazikutegemei kwa lolote unadhani utaanza kuzitisha ooh nakuwekea vikwazo vya kufanya biashara na nchi nyingine unadhani nchi gani itamsikiliza US maana wanajua hawategemei pesa yake kwa chochote kile.
Tena inatakiwa aache kutoa pesa kwny kila kitu from huko UN to misaada kwa nchi mbalimbali uone huo U-super power/influence yake itakuwaje huko duniani.
Natamani ajitoe namashirika yote anayo fund mpunga mrefu yeye ili dunia ipate kua na usawa
Sent using My COVID-19