mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Mwadela mayo,Bariadi mnaendeleaje?OMG! To your definition kuwa world super power is funding UN na mataifa mengine? 😨
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwadela mayo,Bariadi mnaendeleaje?OMG! To your definition kuwa world super power is funding UN na mataifa mengine? 😨
Yap. Always US wana hila wanafanya, si kwa uchina tu bali kwa yeyote ambaye ni tishio kwake.Suala la UCHINA Kuihitaji Ile Nafasi wala sijazipinga Kwahio unakubali kwamba US Kuna hila ambazo anazifanya dhidi ya UCHINA ?!.
Sent using My COVID-19
Kuna utofauti kumchukia mtu direct na inderect, zote ni chuki lakin Zina tofautiana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa ndio mnapo feli kuugawa ubaguzi katika makundi tofauti kwahio ubaguzi wawazungu upitishwe kama unakubalika ?!
Sent using My COVID-19
Unaongea vitu usivyovijua ushawishi wa marekani kwenye uchumi wa dunia ni mkubwa hata akijitoa kuchangia UN, na tutakao suffer ni nchi maskini kwa sababu tunategemea sana UN organs tofauti na developed countriesNdio maana ya kua super power na hizi ndio gharama zake.,,sasa yeye aache kutoa fedha/aendelee kujifanya mbabe aone kama kuna nchi zitamuogopa.
Hivi nchi kama hazikutegemei kwa lolote unadhani utaanza kuzitisha ooh nakuwekea vikwazo vya kufanya biashara na nchi nyingine unadhani nchi gani itamsikiliza US maana wanajua hawategemei pesa yake kwa chochote kile.
Tena inatakiwa aache kutoa pesa kwny kila kitu from huko UN to misaada kwa nchi mbalimbali uone huo U-super power/influence yake itakuwaje huko duniani.
Hio ni nature ya wanadamu wote, anayeongoza always anataka aendelee kubaki kileleniYap. Always US wana hila wanafanya, si kwa uchina tu bali kwa yeyote ambaye ni tishio kwake.
Haikunyimi Aman na umesema ikifall utapata Aman hata ukiwa kaburin, mean current huna amaniUS Haininyimi Amani Maana Najua Usupa pawa hauja anzia kwake nawala hautamalizia kwake nimbio tu zavijiti kwan watu walidhania kama hitler atakuja kua under dog
Uzuri wamuda hua haudanganyi.
Sent using My COVID-19
Kwan wakijitoa hawawez Rudi ndo maana nilikuambia we ni mshabiki, maamuzi yaliyofanywa ni uamuz wa Trump akija rais mwingine na utawala wake anaweza akarudisha contribution kwa sababu hawajafungiwa milangoNakule kwayale mashirika mengine alojitoa kajitoa kwasababu gan ?! Kama hili la WHO Tuseme yuko sahihi kwa zaidi ya 100%Vp kuhusiana na UNESCO Kuhusiana na ICC kuhusiana na Ule Mkataba Wahali Yahewa
US Anaanguka kidogo kidogo anaipa dunia uwepesi sababu itafikia kipindi atakua hasikilizwi katika maamuzi sababu atakua hana nguvu
Juzi kaiamuri IMF Isitoe pesa kwan IRAN Na ikatii kwasababu US Anachangia pesa kubwa katika ile Taasisi unahisi ikitokea akajitoa wakachangia sawa atakua na sauti gan ?!
Maamuzi anayo yachukua sasa US yanaiumiza ama yataiumiza DUNIA Kwamuda Ila Yatakuja Kuiumiza US Milele Maana Watakua washapoteza Ile Status Walokua Nayo Awali
Natamani wajitoe katika mashirika yote wanayo yatolea misaada ili iundwe sawa wanachama wote wachangie sawa hatakama itakua hamsini hamsini ili hata hukumu zikitoka ziwe sawa
Sent using My COVID-19
Information za GDP zinatoka IMF na worldbank.Don't trust Chinese data including GDP data haziaminiki tena
Sawa mjuaji,wasalimie hapo Tinde.Unaongea vitu usivyovijua ushawishi wa marekani kwenye uchumi wa dunia ni mkubwa hata akijitoa kuchangia UN, na tutakao suffer ni nchi maskini kwa sababu tunategemea sana UN organs tofauti na developed countries
Hamna kitu anajua huyo.
Jamaa haelewi chochote yupo tuu anavuta hewa ya bure nakuichosha miguu yake kubeba kichwa naziUkisema Marekani Inajifia unamaanisha nini?
Nani kakudanganya unadhan IMF au world Bank wanajua economic outlook ya North Korea mpaka wapewe permission tofauti na hapo wanaishia kubwabwaja tu
Unadhani IMF wanajua economic outlook ya North Korea hawajui, mpaka uwape ruhusa tofauti na hapo wanakua hawajui kitu usiongelee mambo usiyoyajuaJamaa haelewi chochote yupo tuu anavuta hewa ya bure nakuichosha miguu yake kubeba kichwa nazi
Sasa una muuliza nani au hujui kufuatilia comment dogo?Unadhani IMF wanajua economic outlook ya North Korea hawajui, mpaka uwape ruhusa tofauti na hapo wanakua hawajui kitu usiongelee mambo usiyoyajua
Nimekutoa matongotongo ulikua hujui kwamba Kuna member countries na ambao sio member countriesSasa una muuliza nani au hujui kufuatilia comment dogo?
Someni sana hata kama upo likizo
Nakule kwayale mashirika mengine alojitoa kajitoa kwasababu gan ?! Kama hili la WHO Tuseme yuko sahihi kwa zaidi ya 100%Vp kuhusiana na UNESCO Kuhusiana na ICC kuhusiana na Ule Mkataba Wahali Yahewa
US Anaanguka kidogo kidogo anaipa dunia uwepesi sababu itafikia kipindi atakua hasikilizwi katika maamuzi sababu atakua hana nguvu
Juzi kaiamuri IMF Isitoe pesa kwan IRAN Na ikatii kwasababu US Anachangia pesa kubwa katika ile Taasisi unahisi ikitokea akajitoa wakachangia sawa atakua na sauti gan ?!
Maamuzi anayo yachukua sasa US yanaiumiza ama yataiumiza DUNIA Kwamuda Ila Yatakuja Kuiumiza US Milele Maana Watakua washapoteza Ile Status Walokua Nayo Awali
Natamani wajitoe katika mashirika yote wanayo yatolea misaada ili iundwe sawa wanachama wote wachangie sawa hatakama itakua hamsini hamsini ili hata hukumu zikitoka ziwe sawa
Sent using My COVID-19
Ahsante sana, eti kujitoa u s kuchangia ndo point mtu anakuambia u.s ameanza kufulia easy like that, na ndo maana nilimwambia yeye ni mshabikiKuchangia mashirika ya kimataifa ni comittment ambayo ni optional sio lazima. Unaahidi then unatekeleza, ukishindwa unaacha.
Mashirika mengi tuseme yote yalianzishwa kwaajili ya welfare ya dunia baada ya WW2 , sio welfare ya US, kwahiyo ni jukumu la dunia kkiwemo China
Kama China na wengineo wameshapevuka hawana budi kubeba huo mzigo, kitendo cha kuishia kulalamika tu kinaashiria zile sifa tunazompa humu ni za "kumpamba" tu
Tafuta chanzo cha Mimi Ku reply ile comment, ndio uanze kujitoa hayo matongotongo sipendi kubishana Dada angu hasa jambo lisilonihusu kama hiliNimekutoa matongotongo ulikua hujui kwamba Kuna member countries na ambao sio member countries
Na Kwa kukusaidia usimjudge mtu usie mjua huku tuelimishane, tubishane ndo Raha ya jf
Mambo ya dada yametoka wapi umepanic tayari. Huku ili usijibiwe usicomment chochote, uki-comment either mtu alike, areport, au areply unatakiwa ujiandae na hivyo vitu vitatu ndo maana ya forumsTafuta chanzo cha Mimi Ku reply ile comment, ndio uanze kujitoa hayo matongotongo sipendi kubishana Dada angu hasa jambo lisilonihusu kama hili
Au nilikuuliza chochote khs hayo ma IMF yako?