China yaiomba Marekani kutimiza wajibu wake kwa WHO

China yaiomba Marekani kutimiza wajibu wake kwa WHO

Mtakapo athirika ndio mtatia akili yakujitegemea wenyewe sio kutegemea vyakupewa[emoji23][emoji23][emoji23]IRAN Wanapambana nawao kujieka sawa katika taifa lao nyie kaeni tu mngojee misaada[emoji23][emoji2][emoji12][emoji14]

Sent using My COVID-19
Iran analialia vikwazo vimembana koo viondolewe, lakin bosi hana hata huo mpango wa kuviondoa, sasa Iran anakula jeuri yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kufail kwa US Kama ilivyokua kwa USSR UK ROMA Nawengineo Hawez kuja kua kama SOMALIA KONGO n.k Ila atapoteza ila hadhi nasifa alokua nayo Awali Pia hata kama ntakufa akipoteza anachoringia sasa ntajihisi amani sana huko kaburini ama mavumbini.

Sent using My COVID-19
Sawa Mu-Iran Mweusi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakati huo US Anammaliza MCHINA Yeye US Kwao Hawazalishi Kitu Viwanda Vimefungwa watu wake wanakufa shughuli zakiuchumi karibia zote ama nusu narobo zimesimama wakati WACHINA Walisimamisha kwamuda sasa hv wanapiga kazi

Kama US Kapeleka Gonjwa hili Kwa UCHINA Kama Unavyodai Kafeli Sana Maana Limemrejelea Mwenyewe Pamoja Nawashirika Wake Sio UCHINA Kama alivyodhamiria

Kwahapa kama kafanya US Kama Unavyodai Kafeli Vibayaaaaa.

Sent using My COVID-19
Inawezekana, mm si mchina wala mmarekani nitetee upande wowote. Ila kwa analysis zangu ndogo za kitanzania tangu vita ya huawei na suala la android apps mpaka hii ya corona ni 5g war, na mmarekani ndo msumbufu, hataki kumnyooshea njia mchina. Na mpaka ss anavuruga vuruga tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya maisha yaani unamchukia mtu asiyekua na mda na wewe uko ni kujitesa, hata u.s asipokua superpower sidhani Kama Kuna kitu kitaongezeka kwenye maisha yako mim binafsi hakuna nchi nayouchukia
Kwan kutktaka iwe super power ndio kuichukia mkuu

Kwan sikuna uhuru wakila mtu sindio inavyosema demokrasi[emoji16]!?

Hata huko US Demo na Repub Unahisi Hawapendani Wale Ila wanaendeleza Demokrasia

Inabidi maoni namawazo yangu yaheshimiwe tu Mkuu hatakama hayakupendezi ama yanapishana nayakwako [emoji3]

Sent using My COVID-19
 
Iran analialia vikwazo vimembana koo viondolewe, lakin bosi hana hata huo mpango wa kuviondoa, sasa Iran anakula jeuri yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Jeuri yake anayoila inalika kula nawewe jeuri yako sasa kama unaweza[emoji23][emoji23]

Lazma mule mpaka mawe[emoji12][emoji14]

Sent using My COVID-19
 
Yah uko sahihi kabisa unahisi kwa nn US Anamfanyia Kila Aina Yahila MCHINA ?!
Inawezekana, mm si mchina wala mmarekani nitetee upande wowote. Ila kwa analysis zangu ndogo za kitanzania tangu vita ya huawei na suala la android apps mpaka hii ya corona ni 5g war, na mmarekani ndo msumbufu, hataki kumnyooshea njia mchina. Na mpaka ss anavuruga vuruga tu.
Sijui wewe kwamaoni yako ila kwamaoni yangu anamfanyia hila hizo sababu anaelewa kama UCHINA Akipata upenyo ndio kwaheri hakamatiki tena

Na unahisi hizo hila zitakua zinafanikiwa kila leo!? Japokua kwampaka sasa hila zake zinafanikiwa kwaasilimia zaidi ya mia ila hazitakaa zifanikiwe kila day

Sent using My COVID-19
 
Kufail kwa US Kama ilivyokua kwa USSR UK ROMA Nawengineo Hawez kuja kua kama SOMALIA KONGO n.k Ila atapoteza ila hadhi nasifa alokua nayo Awali Pia hata kama ntakufa akipoteza anachoringia sasa ntajihisi amani sana huko kaburini ama mavumbini.

Sent using My COVID-19
Kwamba utajihisi Aman sana, mim china Sina chuki na China na haininyimi amani, tofaut na wewe marekani inakunyima amani ndo utofauti
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Yah uko sahihi kabisa unahisi kwa nn US Anamfanyia Kila Aina Yahila MCHINA ?!Sijui wewe kwamaoni yako ila kwamaoni yangu anamfanyia hila hizo sababu anaelewa kama UCHINA Akipata upenyo ndio kwaheri hakamatiki tena

Na unahisi hizo hila zitakua zinafanikiwa kila leo!? Japokua kwampaka sasa hila zake zinafanikiwa kwaasilimia zaidi ya mia ila hazitakaa zifanikiwe kila day

Sent using My COVID-19
Sababu ni kuwa super power. Marekani ni super power, china inatamani hiyo nafasi. Hata nchi zingine pia ni vile hazina ubavu. Hata nchi yetu tunatamani tuwe na sauti tukisema No ni No, Yes ni Yes.
 
Kwa mtazamo wangu
1. USA ni super power, ana fadhili kiasi kikubwa sana kwenye mashirika ya kimataifa ikilinganishwa na nchi zingine. Lengo kubwa ni kuendelea kumaintain status yake. Hawezi kuendelea kufadhili shirika lenye mlengo unaotishia status yake

2. Sera ya Trump since day 1 ilikua ni "America kwanza" ikihusisha kupunguza committments za US nje na kujikita ndani zaidi. Hata washirika wake NATO walielezwa pia

3. Kwa kuchukua hiyo (1) na (2) naamini hakuna cha ajabu wala kuilaumu US kwa uamuzi wake. WHO ilishaanza kuonyesha ujeuri mapema, kushindwa kui "quarantine" China mapema. Mbona Liberia ilifanyiwa hivyo wakati wa Ebola na ilileta mafanikio. Sasa US kama mfadhili mkuu hana sababu ya kuendelea kukumbatia shirika linalomdhuru. Hata ningekua mimi ningejitoa

Kwasababu China ndo kaifikisha dunia hapa, ajitutumue tuione roho yake nzuri
 
Kama ili US Asambaratike lazma nasisi tusambaratike basi sio mbaya mhim US Asambaratike tuuh.

Sent using My COVID-19
Akili za mashia na masalafi hizi.
Ufe ili eti uende peponi idiot
 
Back
Top Bottom