pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Wanaimarisha uchumi wao kwanzaSi China wanajimwambafai wana uchumi mkubwa watoe hizo dola Mil 400 walizokuwa wanatoa Marekani kuziba pengo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaimarisha uchumi wao kwanzaSi China wanajimwambafai wana uchumi mkubwa watoe hizo dola Mil 400 walizokuwa wanatoa Marekani kuziba pengo!
Hivi Huoni kiroma ilivyo fanya mambo yamekua magumu huku kwetu, tujifunze kuacha ushabik usio na tija, Corona sio janga la marekani ni Ujinga kudhani hivyoWao wanaojiita super power si nisawa namwanaume kwenye nyumba unategemea mwanaume atoe pesa sawa namkewe katika nyumba[emoji23][emoji23][emoji23]
Polen sana asee[emoji3][emoji16][emoji23][emoji12][emoji14]
US Anahangaika tusasa anatapa tapa tu
Sent using My COVID-19
IRAN Wanapambana nawao kujieka sawa katika taifa lao nyie kaeni tu mngojee misaada[emoji23][emoji2][emoji12][emoji14]Waziri wa Mambo ya kigeni wa uchina anasema 'US kutotoa pesa WHO huenda ikaathili nchi zote duniani' [emoji3][emoji3] yaani kujitoa kwa nchi moja tu US inaathili nchi zote ulimwenguni, hiv waajemi wanachangiaga shi ngapi kweli? Hata hivyo Iran hata isipotoa hivyo visenti vyake hakuna athari hata kwenye kata moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubaguzi hata pale Afrika Kusini Kwa Waafrika Wenzenu Mnabaguliwa Seuze Huko UCHINA na US Kama Sisi Wenyewe Hatujitambui Wao Watatutambua ?!Sijasema kwamba ni wazuri, lakin huwez fananisha na wachina angalia wenzako wanachofanyiwa Guangzhou in 21 century
Kuna wakati mtu anapo amua kwenda zake inabidi umuache aende sio kumbembeleza kwani hili ndio shirika lakwanza kujitoa nambona maisha yapo na yanaendelea kama kawaida ?!.Hivi Huoni kiroma ilivyo fanya mambo yamekua magumu huku kwetu, tujifunze kuacha ushabik usio na tija, Corona sio janga la marekani ni Ujinga kudhani hivyo
Tutajitambuaje na wengi wa watu ni bendera fuata na washabiki wa mamboUbaguzi hata pale Afrika Kusini Kwa Waafrika Wenzenu Mnabaguliwa Seuze Huko UCHINA na US Kama Sisi Wenyewe Hatujitambui Wao Watatutambua ?!
Sent using My COVID-19
Ni wakati sasa dona kantri kama sisi Tanzania kuchukua nafasi, kutoa pesa kufadhili WHO.
Tunanunua ndege cash money, pesa ya WHO haiwezi kutushinda hata kidogo.
Duniani Kuna nchi ngapi, Kama yeye amekataa wengine wachangie kwani wamenyimwa, haya ndo matokeo ya fikra tegemeziCORONA Nijanga Lakidunia Halina Ubishi Ndio Ukae Uelewe Kama US Hana Ubina Adamu Anakata Msaada Katika Kipindi Kigumu Kama Hiki Kwahio Maadam Kaishakata Wataka watu wambembeleze wampigie magoti yeye kama nani ?! Kuna wakati mtu anapo amua kwenda zake inabidi umuache aende sio kumbembeleza kwani hili ndio shirika lakwanza kujitoa nambona maisha yapo na yanaendelea kama kawaida ?!.
Sent using My COVID-19
Nikikuharibia dili la milioni 500 halafu nikaja kwako kukupa biashara ya 50k nimekutajirisha au nimeharibu? Anachokifanya mmarekani ni kujaribu kumwaga ugali wa mchina maana China ilishaandaa mboga yake kwa kutangulia kutoa 5g. China atammaliza endapo atafund WHO na kutoa vaxine kila nchi ambayo anategemea kukuza biashara zake.Halafu hapo hapo US Akaenda Nunua Mask huko huko UCHINA Akawa anawachangia bila kujijua[emoji16]
MCHINA ss hv kawa kama maji asee usipomnywa utamuoga .
Sent using My COVID-19
Hivi ni kampuni ya kichina ambayo wako kwenye majaribio ya kutengeneza vaccine ya coronaNikikuharibia dili la milioni 500 halafu nikaja kwako kukupa biashara ya 50k nimekutajirisha au nimeharibu? Anachokifanya mmarekani ni kujaribu kumwaga ugali wa mchina maana China ilishaandaa mboga yake kwa kutangulia kutoa 5g. China atammaliza endapo atafund WHO na kutoa vaxine kila nchi ambayo anategemea kukuza biashara zake.
Upepo unafatwa ki vp ?!Tutajitambuaje na wengi wa watu ni bendera fuata na washabiki wa mambo
Bidhaa za kimarekani au za Western world ni bei ghali Ila Zina dumu sana, china anakutengenezea bidhaa bei Chee Ila haidumu na ubora unakua hafifu kwa unaapata kulingana na uwezo wakoNimekuja hivi nyie mmnomuogopa mchina naomba hapa sebuleni kwako muniolozeshee vifaa vya kichina na usa sasa hivi maana mie bila mchina sipigi pesa ktk mishe zangu hapa dukani acheni umbumbu !
Unapokua baba katika familia tegemea kutoa pesa nyingi zamahitaji ama zoteDuniani Kuna nchi ngapi, Kama yeye amekataa wengine wachangie kwani wamenyimwa, haya ndo matokeo ya fikra tegemezi
Sasa wewe US akisambaratika hautashuhudia "msambaratiko " wake kwa sababu wewe utakuwa umefutika kabisa hata alama yako haitakuwepo.Kama ili US Asambaratike lazma nasisi tusambaratike basi sio mbaya mhim US Asambaratike tuuh.
Sent using My COVID-19
Hiyo ni ndoto marekani inataka usawa katika kufadhili mashirika ya kimataifa kama hao who, nato nk
China anapenda kubebwa tu apambane na kama anaweza alipe hizo milion 400 usd yeye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati huo US Anammaliza MCHINA Yeye US Kwao Hawazalishi Kitu Viwanda Vimefungwa watu wake wanakufa shughuli zakiuchumi karibia zote ama nusu narobo zimesimama wakati WACHINA Walisimamisha kwamuda sasa hv wanapiga kaziNikikuharibia dili la milioni 500 halafu nikaja kwako kukupa biashara ya 50k nimekutajirisha au nimeharibu? Anachokifanya mmarekani ni kujaribu kumwaga ugali wa mchina maana China ilishaandaa mboga yake kwa kutangulia kutoa 5g. China atammaliza endapo atafund WHO na kutoa vaxine kila nchi ambayo anategemea kukuza biashara zake.
Unahisi Hao US wanavyouza Kwao Ndio Wanavyouza Hapa Kwetu Afrika ?!Bidhaa za kimarekani au za Western world ni bei ghali Ila Zina dumu sana, china anakutengenezea bidhaa bei Chee Ila haidumu na ubora unakua hafifu kwa unaapata kulingana na uwezo wako
Mfano dawa nyingi hapa Tanzania zinatoka India, kwa sababu India amepewa kibali Cha kutengeneza dawa kwa bei nafuu ili watu wake ambao ni maskin wa-afford na hata kutoka afrika
Kufail kwa US Kama ilivyokua kwa USSR UK ROMA Nawengineo Hawez kuja kua kama SOMALIA KONGO n.k Ila atapoteza ila hadhi nasifa alokua nayo Awali Pia hata kama ntakufa akipoteza anachoringia sasa ntajihisi amani sana huko kaburini ama mavumbini.Sasa wewe US akisambaratika hautashuhudia "msambaratiko " wake kwa sababu wewe utakuwa umefutika kabisa hata alama yako haitakuwepo.
Yaani ipo hivi.
US aki-fall, bado ataonekana yupo juu kwa nchi nyingi sana. Yaani akianguka hatua moja sisi nchi nyingine tunaporomoka hatua 5. Kwahiyo bado atakuwa juu tuu.
Haya maisha yaani unamchukia mtu asiyekua na mda na wewe uko ni kujitesa, hata u.s asipokua superpower sidhani Kama Kuna kitu kitaongezeka kwenye maisha yako mim binafsi hakuna nchi nayouchukiaKufail kwa US Kama ilivyokua kwa USSR UK ROMA Nawengineo Hawez kuja kua kama SOMALIA KONGO n.k Ila atapoteza ila hadhi nasifa alokua nayo Awali Pia hata kama ntakufa akipoteza anachoringia sasa ntajihisi amani sana huko kaburini ama mavumbini.
Sent using My COVID-19