China yaiomba Marekani kutimiza wajibu wake kwa WHO

China yaiomba Marekani kutimiza wajibu wake kwa WHO

Namaanisha inadondondoka kutoka dola kuu kwenda dola la hovyo

Kumbuka tofauti ya China na usa kwa sasa GDP ni dola tilion tano tu

China ni silent killer

Sent using Jamii Forums mobile app
aiseeh, china hii ambayo uchumi wake unaweza kutingishwa na usa na ukatingishika? Trump aliweka vikwazo baadhi ya bidhaa za china uchumi ukashuka toka 6.8(2018) hadi 6.0(2019)
 
Kiujumla ni kuwa wamarekani na viongozi wao wameshachanganyikiwa na wanachofikiri ni kuwa kwa kuwa wao ni taifa kubwa lenye nguvu za kijeshi na pesa,ufumbuzi ni kuendelea kutumia nguvu badala ya akili nyepesi tu ili kupambana na huu ugonjwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
facts.

Sent using My COVID-19
 
Bora kumkumbatia marekani kuliko China hawa wamebagua ndugu zetu juzi tu hapo...... alafu uwekezaji wao Africa ni ule wa kuweka airport na state houses km dhamana japo sio shida sn sisi tutawapiga chenga tutawapa Magogoni house km dhamana wkt ikulu halisi ipo chato
 
I don't think the US would ever collapse, they would definitely go through changes and evolve, but they wouldn't fall.

Remember, anything that could take down a Super Power like the US, will likely take everyone else too. DON'T CELEBRATE.
Kama ili US Asambaratike lazma nasisi tusambaratike basi sio mbaya mhim US Asambaratike tuuh.

Sent using My COVID-19
 
Kiujumla ni kuwa wamarekani na viongozi wao wameshachanganyikiwa na wanachofikiri ni kuwa kwa kuwa wao ni taifa kubwa lenye nguvu za kijeshi na pesa,ufumbuzi ni kuendelea kutumia nguvu badala ya akili nyepesi tu ili kupambana na huu ugonjwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu, huu ndio muda wa taifa lenu linalotumia akili kuchuka nafasi ya Marekani.
mbona simply tu [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom