China yaiomba Marekani kutimiza wajibu wake kwa WHO

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16] Nashkuru kwamba umerudi katika mstari ulionyooka nandio maana nikasema yakwamba US Hawazi Kama Mnavyowaza Nyie Kwamba Afunge Viwanda Vyake Vilivyopo UCHINA Kwakisingizio Cha Eti Kumkomoa UCHINA Hio Itakua Anajikomoa nayeye Pia

Sent using My COVID-19
 
@Sexer ukiwa unaropoka usiache kua na kumbu kumbu kijana sio unaropoka ropoka tu kijana sawa sawa ?!.

Sent using My COVID-19
 
@Sexer ukiwa unaropoka usiache kua na kumbu kumbu kijana sio unaropoka ropoka tu kijana sawa sawa ?!.

Sent using My COVID-19
Wewe ndo unatakiwa uwe unasoma na kuelewa sio unaropokaropoka tu kuwalisha watu maneno, hapo ni wapi nimesema alibwagwa? Nilisema hivi 'alipojaribu kugombea nini kilimkuta'. Kwa kuwa hujui kitu ukakurupuka na kuropoka hivi 'Kwani kugombea tena nakushindwa na kukubali kushindwa sindio sehemu ya demokrasia ama ulitaka akishindwa agome', nami nikakuuliza hivi "aligombea na kushindwa wapi?" Nawe ukaropoka tena hivi 'Wakati unasema alibwagwa alibwagwa wapi ?!' Nami nikauliza. "Ni wapi nimesema alibwagwa?!" Hadi sasa hujaonyesha ila umeamua kujitekenya na kucheka mwenyewe kwa sababu hujui kilichomtokea alipojaribu kugombea tena. Kwa taarifa yako tu hata kugombea kwenyewe hakugombea pamoja na kutaka kugombea. Sasa wewe unapojimwambafy hapa na uongo wako eti 'Kwani kugombea tena nakushindwa na kukubali kushindwa sindio sehemu ya demokrasia' haya eleza aligombea na kushindwa na kukubali matokeo wapi? [emoji23][emoji23]tatizo unalopoka sana bwa mdogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…