Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
yupo...sema anajificha ficha...ana bifu na serikalijack ma kwani kauwawa?????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yupo...sema anajificha ficha...ana bifu na serikalijack ma kwani kauwawa?????
Wakati vyuo vya wenzetu vikikazana kufanya tafiti huku kwetu mambo ni tofauti, maprofesa wa vyuo vikuu wako wanangoja wapewe nafasi za kisiasa na kugombea ubunge!!
Mbaya zaidi tunataka viwanda, sijui hivyo viwanda vitatoka wapi kwa mtindo huu!
lazima uwe na akili ndio uelewe mkuu.Nimesoma na sijaelewa
Ni kweli mkuu,
Badala watumie vitivo vyao kufanya tafiti pamoja na wanafunzi wao wamekalia siasa tu.
Sijui tunakwama wapi kama Taifa.
Maprofessor wakichaguliwa na wanasiasa wanasema wameokotwa jalalaniWakati vyuo vya wenzetu vikikazana kufanya tafiti huku kwetu mambo ni tofauti, maprofesa wa vyuo vikuu wako wanangoja wapewe nafasi za kisiasa na kugombea ubunge!!
Mbaya zaidi tunataka viwanda, sijui hivyo viwanda vitatoka wapi kwa mtindo huu!
Sasa serikali ya China ikimtaka kumng'oa si dakika mbili tu ..aache ubwegeyupo...sema anajificha ficha...ana bifu na serikali
Sasa wewe Mwenye akili na Mimi nisiye na akili wote tunashea uzi mmoja, tofauti yetu iko wapi? Tusichekane mikundule🐵🐒🦍🦍🦍🦍🐒🐵🦍🦍🦍lazima uwe na akili ndio uelewe mkuu.