China yaonywa katu isithubutu kuipa Urusi msaada wa silaha, itakiona

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Urusi kwa sasa inatapatapa ikiomba msaada kote hadi kwa maustadh wa Syria na Palestina, juzi kumeibuka tetesi kwamba China inawaza kuipa Urusi huo msaada wa silaha, ila onyo kali limetolewa...thubutuu!!!.... muacheni Mrusi ajifie maana kalianzisha mwenyewe...
Kubwa la magaidi Iran lilishapigwa pini, drones zake hazina umuhimu tena....

A senior European Union (EU) official on Friday said that the 27-nation bloc would respond with sanctions if China provides weapons to Russia in its war with Ukraine.

Calling it an absolute "red line", the EU official warned China against supplying weapons to Russia, Reuters reported.

The comments echo remarks by German Chancellor Olaf Scholz who also warned Beijing against providing such aid to Moscow as it continues to fight in Ukraine.
 
Hata akipewa silaha wenye uzoefu wengi wameshakufa bakhmut
 
Omera, huyo anayetoa onyo yeye yuko wapi? Nimeuliza tu
 
Uzuri ukishushaga uzi unaoonesha pingamizi la mabeberu juu ya zuio fulani.Wale waliotishwa na mabeberu wanallitekeleza.Utashangaa china wanashusha vitu, KISU KWA SHINGO YA BEBERU.
 
Nani wa kumtisha mchina
 
Kweli wewe akili yako imekaa kiupinde sana. Yaani Mrusi ambae duniani ni mzalishaji wa kwanza au wa pili wa silaha kwa wingi aombe msaada kwa wachina!🚮
 
Huyo sie tena, alikua tegemezi la waarabu lakini sasa hivi ni useless....sijui mtategemea nani tena, labda mhamie kwa Kim wa Korea.
 
It's wastage of time hata kujadili kitu na wewe. Maana unaonekana ni mjinga mjinga tu. Yaani nchi ya 2 kwa kuproduce silaha kwa wingi ikose silaha mpaka ikaombe kwa China. Wakati mwingine watu wa upinde muwe mnatumia akili Basi. Ficheni ujinga wenu

Screenshot_20230305-061005.png
 
China imekua makini sana kwenye huu ugomvi, haiwezi kuthubutu kufanya ujinga huo maana inajua gharama yake.
China mkubwa ujue, unakumbuka puto?angefanya ule ujinga zamani angekoma.
 
It's wastage of time hata kujadili kitu na wewe. Maana unaonekana ni mjinga mjinga tu. Yaani nchi ya 2 kwa kuproduce silaha kwa wingi ikose silaha mpaka ikaombe kwa China. Wakati mwingine watu wa upinde muwe mnatumia akili Basi. Ficheni ujinga wenu

View attachment 2537592

Huna lolote la kuniaminisha ustadhi, maana mimi hofu niliyokua nayo wakati hivi vita vinaanza nikijua Ukraine kajirani ka Urusi hapo katafumuliwa na huyo supapawa aliyekua anategemewa na waarabu, leo anagombania kamji ka chumvi na amepokteza wanajeshi zaidi ya 140,000 halafu unakuja kunipa ngonjera humu.
Je NATO wakitia guu pale si ndio atafutika....mtaishia kuhamia kwa Kim Korea...
 
China mkubwa ujue, unakumbuka puto?angefanya ule ujinga zamani angekoma.

China hawezi akafanya ujinga uliofanywa na Urusi, maana ataathirika hata zaidi ya Urusi maana wenyewe Wachina ni zaidi ya bilioni na hawana raslimali za kutosha kwao, huwa wako makini sana hawataki kujiingiza kwenye ujinga.
Urusi wana liinchi libwaku, sio rahisi uwaone wanatoka kutangatanga duniani wakitafuta riziki, kwa namna wamebanwa sasa hivi, ingekua Mchina angekua ameomba po.
 
Uzuri ukishushaga uzi unaoonesha pingamizi la mabeberu juu ya zuio fulani.Wale waliotishwa na mabeberu wanallitekeleza.Utashangaa china wanashusha vitu, KISU KWA SHINGO YA BEBERU.
Akipeleka silaha kwa Russia, bihashara zote anazofanya na wazungu zimekufa. Kuanzia bihashara ya Android, window operating system, Java, Intel na Research zote zimekufa. China atakoma na uchumi wa Copy & Paste
 
Back
Top Bottom