Hii kauli ya hakuna ubepari au ujamaa wa 100% katika majadiliano huwa ni ya hovyo sana
Acheni kufanya ufala wa Straw man
Wewe kama baba yako ni msukuma na mama yako ni mgogo ukiulizwa kabila lako utajibu wewe ni chotara wa Kisukuma na Kigogo?!
Hakuna mtu mwenye akili za kawaida tu ambaye huwa anazungumzia mambo perfect kwa 100%, hakuna kitu kilicho perfect 100% duniani ndio maana kuna biashara hadi za vilainishi. Mtu anaposema uchumi fulani ni wa kibepari au kijamaa anamaanisha mfumo "dominant". Anamaanisha nyingi ya bidhaa au huduma zinatokana na mfumo husika.
What is so special about Chinese socialism hadi nikakeshe kuisoma?! Socialism ya Wachina ilishindwa vibaya wakafungua uchumi wao na karuhusu soko huria kuingia kwa ukubwa zaidi miaka ya 1980, maendeleo makubwa unayoyaona China leo ni baada ya ubepari na mabepari kupewa nafasi kubwa katika uchumi wa China.