DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,598
Moja kati ya kazi ya Central Bank katika kuendesha uchumi wa nchi ni usimamizi na udhibiti wa fedha ya nchi ni kwa wakati gani fedha iwe juu, iwe chini , uchapishaji wa fedha, udhibiti/ usimamizi wa fedha katika mzunguko na n.kCentral bank ina regulate vipi uchumi wa nchi?
Wana regulate kwa namna nyingi Sana, mfano:
1. Balance of payments
2. Interest rates
3. Currencies circulation.
4. Deposits
Nenda kasome upya kuhusu State Capitalism nenda pia kasome kuhusu Socialist Market Economy in China , Preliminary Stage of Socialism in China na Socialism with Chinese characteristics wenda kuna vitu vipya kuhusu ujamaa wa China utapata.
: Katika dunia hii ni ngumu kuiendesha nchi kwa 100% pure socialism au 100% pure capitalism.
Acheni kufanya ufala wa Straw man
Hakuna mtu mwenye akili za kawaida tu ambaye huwa anazungumzia mambo perfect kwa 100%, hakuna kitu kilicho perfect 100% duniani ndio maana kuna biashara hadi za vilainishi.
What is so special about Chinese socialism hadi nikakeshe kuisoma?!
Mkuu tulia acha jaziba , mbona nimeongea kisomi zaidi kuwa kasome hivyo vitu nilivyo kuelekeza ili upate ufahamu wa kitu usicho kifahamu nilitegemea ungetoa muitikio wa kisomi zaidi ila ulicho jibu mkuu kina nipa ukakasi juu ya uwezo wako wa kupokea mambo mbalimbali yaliyo tofauti na yaliyo ndani ya kichwa chako.Socialism ya Wachina ilishindwa vibaya wakafungua uchumi wao na karuhusu soko huria kuingia kwa ukubwa zaidi miaka ya 1980, maendeleo makubwa unayoyaona China leo ni baada ya ubepari na mabepari kupewa nafasi kubwa katika uchumi wa China.
Badala ya kuonesha yao wanaonesha ya wachina inahusu?Kuna makala nilikuwa napenda kuzifuatilia ZBC 2 za 'Amazing China' zikionyesha jinsi hawa jamaa walikotoka na Sasa waliko, jinsi walivyopiga maendeleo makubwa..Naweza kuzipata wapi Tena maana sizioni Tena siku hizi zbc 2
MkuuHii kauli ya hakuna ubepari au ujamaa wa 100% katika majadiliano huwa ni ya hovyo sana
Acheni kufanya ufala wa Straw man
Wewe kama baba yako ni msukuma na mama yako ni mgogo ukiulizwa kabila lako utajibu wewe ni chotara wa Kisukuma na Kigogo?!
Hakuna mtu mwenye akili za kawaida tu ambaye huwa anazungumzia mambo perfect kwa 100%, hakuna kitu kilicho perfect 100% duniani ndio maana kuna biashara hadi za vilainishi. Mtu anaposema uchumi fulani ni wa kibepari au kijamaa anamaanisha mfumo "dominant". Anamaanisha nyingi ya bidhaa au huduma zinatokana na mfumo husika.
What is so special about Chinese socialism hadi nikakeshe kuisoma?! Socialism ya Wachina ilishindwa vibaya wakafungua uchumi wao na karuhusu soko huria kuingia kwa ukubwa zaidi miaka ya 1980, maendeleo makubwa unayoyaona China leo ni baada ya ubepari na mabepari kupewa nafasi kubwa katika uchumi wa China.
Mkuu
Mbona unapenda Sana kujibu hoja zako kwa matusi, kwa kutukana.
Unapata faida gani unavyofanya hivyo.?.
Acheni kufanya ufala wa Straw man
Kuna sababu gani hasa inayokufanya utukane? Maybe tukishajua hili, tutaweza kufanya mijadala na wewe.
Sawa mkuu, nitaacha ufala.Straw man fallacy sio matusi, acha kujilalamisha kwa vitu ambavyo huvielewi.