China yasamehe mikopo 23 ya nchi 17 za Afrika

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Waziri wa Mambo ya Nje Wang Yi, ametangaza kuwa serikali itasamehe mikopo 23 iliyokomaa na isiyo na riba kutoka nchi 17 za Afrika zenye uchumi unaoibukia.

Hatua hiyo haihusishi idadi kubwa ya mikopo ya hivi karibuni ikiwemo mikopo ya masharti nafuu na mikopo ya kibiashara ambayo kwa mujibu wa taarifa ya Waziri, mikopo hiyo imefanyiwa marekebisho kidogo ya masharti.

China pia imeagiza kutolewa kiasi cha Tsh. Trilioni 32 za akiba yake kutoka Shirika la Fedha (IMF) kwaajili ya kusaidia nchi zilizoyumba kiuchumi na imepunguza ushuru wa bidhaa zinazoingia nchini humo kutoka nchi 12 za Afrika kwa 98%.

=================================

BEIJING (BLOOMBERG) - China, the largest government creditor to emerging economies, said it will forgive 23 interest-free loans to 17 African countries and redirect US$10 billion (S$14 billion) of its International Monetary Fund reserves to nations on the continent.

Foreign Minister Wang Yi announced the cancellations in a meeting last week of the Forum on China-Africa Cooperation, according to a post on the ministry's website.

It did not provide details on the value of the loans which it said matured at the end of last year, nor did it state which nations owed the money.

Since 2000, Beijing has announced multiple rounds of debt forgiveness of interest-free loans to African countries, cancelling at least US$3.4 billion of debt through 2019, according to a study published by Johns Hopkins University School of Advanced International Studies.

The cancelled debt was limited to mature, interest-free foreign aid loans, with Zambia receiving the most cancellations over that period.

However, the vast majority of China's recent lending in Africa such as concessional loans and commercial loans have never been considered for cancellation, the report added, though some of it has been restructured.

Surging inflation has triggered a wave of interest-rate increases by central banks worldwide, including the US Federal Reserve, which drives up the costs of sovereign loan repayments.

Meanwhile, developing nations have amassed a quarter-trillion dollar pile of distressed debt that threatens to create a historic cascade of defaults by economies that were struggling even before the Covid-19 pandemic.

Beijing, which has come under criticism for its lending practices to poorer nations, accounts for almost 40 per cent of the bilateral and private-creditor debt that the world's poorest countries need to service this year, according to the World Bank.

It has helped forge recent debt-relief agreements, participating in the Group of 20 suspension of repayments during the pandemic.

The announcement last week highlights China's efforts to build ties with developing nations, particularly through its Belt and Road Initiative.

The United States and China are competing for influence around the world, and Beijing's announcement comes at a low point in ties between the two superpowers, with tensions rising following a visit to Taiwan by US House Speaker Nancy Pelosi earlier this month as well as Beijing's support of Russia amid its invasion of Ukraine.

"What Africa wishes for is a favourable and amicable cooperation environment, not the zero-sum Cold War mentality," Mr Wang said, according to the post.

China says allegations it causes debt trap for Africa are false
The IMF's record US$650 billion resource injection last year was intended to help its members weather the effects of the Covid-19 outbreak, but fund chief Kristalina Georgieva has urged richer nations to do more by lending their reserves to poorer ones.

China received the equivalent of about US$38.2 billion through the IMF's recent injection of special drawing rights, which work like an overdraft and come with no conditions.

Mr Wang said that China is willing to channel US$10 billion worth of China's special drawing rights through two of the fund's trusts set up to help poor and middle-income nations.

Since the Forum on China-Africa Cooperation took place in Senegal in November last year, Beijing has delivered US$3 billion of US$10 billion of credit facilities pledged to African financial institutions, Mr Wang said in the speech.

In addition, China this year has agreed to tariff-free entry to 98 per cent of exports from 12 African countries and has provided emergency food assistance to Djibouti, Ethiopia, Somalia and Eritrea, Mr Wang said.

BLOOMBERG
 
Huyu "rafiki" kuna kitu huwa anapata toka kwa hizo nchi, bahati mbaya hiyo mikataba huwa inakuwa ya siri, ngumu kuamini taifa linalotaka kuwa namba moja kwa nguvu kiuchumi duniani, lianze kusamehe bure mikopo iliyotoa bila kujua watairudishia wapi.
 
Mbona umekuja mbio mbio,kwani Tanzania imo kwenye list ya watakaosamehewa?
 
Safi sana.

China ni rafiki wa kweli.

Juzi Museveni kasema Urusi na China walisaidia sana katika ukombozi wa Africa!

Japo nachukia uvamizi wa Urusi kwa Ukraine ila Soviet Union ilikuwa ni baraka kwa Afrika!
 
Uzuri wa China hapo atakuwa ashajilipa kifuatacho baada ya hapo atawakopesha tena ili ajilipe tena maradufu.

WaAfrica hakuna rafiki wakweli anayeweza kukupa hela duniani awe Mzungu, Mhindi, Muarabu, Mchina, Mrusi nk.

WaAfrica tufanye kazi tuijenge Africa tuachane na hii misaada.
 
Huyu "rafiki" kuna kitu huwa anapata toka kwa hizo nchi, bahati mbaya hiyo mikataba huwa inakuwa ya siri, ngumu kuamini taifa linalotaka kuwa namba moja kwa nguvu kiuchumi duniani, lianze kusamehe bure mikopo iliyotoa bila kujua watairudishia wapi.
Ona watu wanashangilia bila kujua kilicho nyuma ya pazia,China ni wezi sana wa rasilimali za Afrika,kwa vile tuna viongozi wengi wapenda rushwa tunaona China ni rafiki mwema kumbe anatupoteza na yeye anafaidika.
 
Huyu ndiye tunasema msomi??? Kwahiyo ww hujawahi samehe deni????
 
Nakumbuka Magu kule Chato aliwahi omba kwa Waziri wa mambo ya nje wa China kuhusiana na kusamehewa baadhi ya madeni akajibu kuwa sera ya China hairuhusu kufanya hivyo.

Naona wameona aibu wakaamua wasemehe.

Sasa sijui hata sisi tupo??
 
Kama mna sera nzuri zinazowajali wananchi mtasamehewa tu.
 
Uzuri wa China hapo atakuwa ashajilipa kifuatacho baada ya hapo atawakopesha tena ili ajilipe tena maradufu.

WaAfrica hakuna rafiki wakweli anayeweza kukupa hela duniani awe Mzungu, Mhindi, Muarabu, Mchina, Mrusi nk.

WaAfrica tufanye kazi tuijenge Africa tuachane na hii misaada.
Kula uliwe - Jakaya Mrisho Kikwete
 
Kama mna sera nzuri zinazowajali wananchi mtasamehewa tu.
Kwa bahati mbaya, hilo la "sera" wao wachina walishajipambanua kwamba wao haliwahusu, siyo takwa linaloangaliwa katika ushirikiano na nchi zingine.
 
Ona watu wanashangilia bila kujua kilicho nyuma ya pazia,China ni wezi sana wa rasilimali za Afrika,kwa vile tuna viongozi wengi wapenda rushwa tunaona China ni rafiki mwema kumbe anatupoteza na yeye anafaidika.
Sasa mkuu 'WALOLA VUNZYA', kwa hili tuwalaumu waChina, au tuwalaumu viongozi wetu?

Mimi ningependa kukazia kwa viongozi wetu.

Unajuwa, hata huko China kwenyewe tusichukulie kwamba hakuna madhambi yanayofanyika ndani kati yao wenyewe. Sasa tutategemeaje kuwa wakija kwetu watakuwa ni wazuri kabisa hata kuzidi huko kwao?

Bahati yao nzuri, maovu yaliyomo ndani ya nchi yao, wanayadhibiti vyema kwa mfumo wao wanaoutumia.
Ukitaka nitakupa mfano wa bilionea Xiao Jinhua aliyekomeshwa hivi karibuni ambaye kahukumiwa kifungo cha miaka 13 na kulipishwa faini kwa kuhujumu mfumo wao wa kipesa akitumia kampuni yake ya "Tomorrow Group"

Huyu bilionea alikuwa karibu sana na Xi Jinping, lakini hilo halikuzuia kukomeshwa kwake, kwa vile mifumo yao inafanya kazi vizuri.

Huku kwetu asemalo SSamia, ndiyo amri inatimizwa hivyo hivyo hata kama ni kinyume na matakwa ya mifumo yetu.
 
Mkoloni aliondoka na ubongo wa mwafrica!! Unawezaje kumpenda mtu aliyewatesa babu zetu na kutuibia rasmali zetu?
Screenshot_20220823-224810.jpg
 
Mchona anaakili sana, analina nakujenga masokoyake Afrika, kwakufanya hivi anazidi kuuza bidhaa(kujenga soko lauhakika la ndani nchimwake) na kujiwekea ngome yakibiashara Afrika
 
Back
Top Bottom