Una uelewa finyu kwenye haya mambo.Huyu ndiye tunasema msomi??? Kwahiyo ww hujawahi samehe deni????
Uzuri wa China hapo atakuwa ashajilipa kifuatacho baada ya hapo atawakopesha tena ili ajilipe tena maradufu.
WaAfrica hakuna rafiki wakweli anayeweza kukupa hela duniani awe Mzungu, Mhindi, Muarabu, Mchina, Mrusi nk.
WaAfrica tufanye kazi tuijenge Africa tuachane na hii misaada.