China yasema ipo tayari kuharibu uhuru wa Taiwan kwa njia yoyote

Una andika maneno mengi yasiyo na faida na mahusiano na suala la Taiwan

Tabiri zako kuhusu serikali ya China na CPC hazina maana.
 
China inauza bidhaa za viwandani kote duniani sio Afrika pekee
Zaidi ya 75% ya energy products China inaagiza nje na njia kuu ni malaka straight. Hii njia ikifungwa kwa vikwazo China kutakuwa na hali mbaya sana.

CCP hawajali wao wanachowaza ni usupa pawa tu. Xi anawaponza mtapotea vibaya sana. Kinachotokea urusi nadhani mnakiona
 
Una andika maneno mengi yasiyo na faida na mahusiano na suala la Taiwan

Tabiri zako kuhusu serikali ya China na CPC hazina maana.
Hayana maana yoyote? Unataka kuniambia na Taiwan? Mzozo wa Taiwan umeletwa kutokana na sera zanu mbovu za kimataifa, sera hizo hizo ndizo zinapelekea uchumi wenu kuwa mbovu hivi sasa.... ubovu wa uchumi umepelekea uporaji wa pesa za pensheni za wazee na wafanyakazi pamoja na kushindwa kupambana na covid 19 kwa kushirikiana na mataifa ya nje kusambaza chanjo zenye manufaa badala ya chanjo yenu ambayo ni 45 to 50% effective
 
Unataka China iwe na ijiendeshe sawa na mataifa unayo penda haiwezi kuwa hivyo
 
Huo ni mtazamo wako
 
Mambo huwa hayaendeshwi kwa kukurupuka.
Kumbuka hata China hakuwa vile mpaka walipom boost.
The same wao watamshusha na kuhamishia kwingine.
Una andika vitu usivyo na uelewa navyo. unafikri China ili kuwa pale ilipo kwa huruma.

Imarisheni nchi yenu na bara lenu mambo mazuri yatakuja yenyewe tu.
 
So kuuwa watu ndio suluhisho na ndio mfumo mzuri wa uendeshaji nchi?

Hakuna taifa au watu ikiwemo Taiwan watakubaliana na huu ushetani.

CCP ni kama gang la washenzi linalotaka kuitawala Dunia kitu ambacho hawatokiweza kamwe
Toka lini CPC ilisema yataka kutawala duniani ? Umejenga fikra zako hasi kuhusu CPC in everything

Mfumo gani huo wa kujiendesha China unao ruhusu kuua watu?
 
Una andika vitu usivyo na uelewa navyo. unafikri China ili kuwa pale ilipo kwa huruma.

Imarisheni nchi yenu na bara lenu mambo mazuri yatakuja yenyewe tu.
Nyi mmeimarisha kipi? Sera iliyowasiadia ni sera ya Den Xiaoping na wachina kujituma kwa kufanya kazi kwa bidiii.

Sera ileile iliyowasiaidia mwanzoni saivi Xi ndo anaivunja. Mtateseka sana tupo hapa ngoja tuone mtakachofanya. Vita ya Taiwan itagharimu mamia ya mamilion ya wachina na kuicha China in deep economic problems.

Mpaka kuja kurecover ni miongo 6 mpaka 10 huko. Tuko hapa tutaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…