China yasema ipo tayari kuharibu uhuru wa Taiwan kwa njia yoyote

China yasema ipo tayari kuharibu uhuru wa Taiwan kwa njia yoyote

China kazungukwa kila kona, Australia, South Korea, Japan, Filippine wote hao adui zake yaani atapigika upside down, atulie tu na biashara zake kutengeneza baiskeli na Cherahani
Ana maadui kila Kona ya nchi yake
 
Huo mpango wa 2049 ni nchi kuwa Modern socialist country na kuwa self reliance in almost everything.

Mpaka sasa hiyo sera iliyokuwa abolished by General secretary Xi ambayo ilikuwa introduced na Deng Xiaoping hauja iandika watu waifahamu ?
Hahaha we jamaa Xi na wasemaji wake wanaimba kila siku kwamba Chinese dream ni ikiwemo pia kufikia 2049 China iwe super power na iongoze in every aspects ikiwemo technology, biashara,n.k

Strategies inazotumia sasa ni kichekesho,.. ni wizi wa IP, hacking, dept diplomacy, human rights abuse n.k

West wameshawashtukia na ndo haitowezekana tena...., kila nchi ya west saivi inabadilisha sera zake dhidi ya China.
 
Tunaona selikari ya China inavyohaha kuimarisha mahusiano na USA kwa kuiomba mazungumzo hivi majuzi coz wanajua bila soko la Marekani na Europe hakuna China anymore wanalijua hilo
Unahangaika na propaganda kuihusu China ona ndugu yako Biden hali ni mbaya Marekani

Screenshot_20230517-104222_Twitter.jpg
 
Kupambana na covid 19 tu imewashinda. Just covid 19 ambayo Duniani imeshaonekana is no longer a threat ila China kwa sasa hivi tunavyoongea bado ni janga na watu wanakufa kila siku.

Unataka kusemaje kuhusu hili.,?
 
Tunaona selikari ya China inavyohaha kuimarisha mahusiano na USA kwa kuiomba mazungumzo hivi majuzi coz wanajua bila soko la Marekani na Europe hakuna China anymore wanalijua hilo
Hayo mataifa yote yanategemeana usiongee kama mtu asiyejua kuhusu uchumi wa dunia
 
Kila siku huwa namwambiaga kuwa ana mtazamao hasi kuhusu China na huwa hanaga evidence pale unapomuuliza
Mnapobanwa ndipo mnakimbilia kwenye ushahidi.

Kila kitu huwa mnakipinga, hata kama kipo wazi.

Mauaji ya waamini wa Falun Gong yanayotokana na forced organ harvesting yapo documented kila mahali mitandaoni na wanaolalamika ni wachina wenyewe.

Mauaji na containment ya waislamu wa Urygur nayo mnakataa wakati yapo waziwazi.

Kwa haya machache inaonesha hakuna jambo ambalo litazungumzwa mtakubaliana nalo
 
Hahaha we jamaa Xi na wasemaji wake wanaimba kila siku kwamba Chinese dream ni ikiwemo pia kufikia 2049 China iwe super power na iongoze in every aspects ikiwemo technology, biashara,n.k

Strategies inazotumia sasa ni kichekesho,.. ni wizi wa IP, hacking, dept diplomacy, human rights abuse n.k

West wameshawashtukia na ndo haitowezekana tena...., kila nchi ya west saivi inabadilisha sera zake dhidi ya China.
Kila taifa lita jiongoza vile linavyo ona lenyewe ipi njia bora.

Mataifa ya magharibi yajiongoze vile yanavyo ona sawa naye China itajiongoza vile inavyo ona sawa kwake na kwa wananchi wake.

Unahitaji kuyajua mengi sana kuhusu China hiyo sera ya Deng mpaka sasa hujaieleza?
 
Kupambana na covid 19 tu imewashinda. Just covid 19 ambayo Duniani imeshaonekana is no longer a threat ila China kwa sasa hivi tunavyoongea bado ni janga na watu wanakufa kila siku.

Unataka kusemaje kuhusu hili.,?
Ni taifa gani kubwa lililo ishinda Covid19 ambalo halina vifo sasa ?
 
Kila taifa lita jiongoza vile linavyo ona lenyewe ipi njia bora.

Mataifa ya magharibi yajiongoze vile yanavyo ona sawa naye China itajiongoza vile inavyo ona sawa kwake na kwa wananchi yake.

Unahitaji kuyajua mengi sana kuhusu China hiyo sera ya Deng mpaka sasa hujaieleza?
Iongoze inavyotaka? Hata kama unavunja haki za binadamu?

Kuna makubaliano ya kimataifa yameingiwa na kukubaliana kulinda sheria za kimataifa kwa maana ndizo zinazotukutanisha sometimes.

Kama haulindi wala haufati sheria za kimataifa utatengwa tu na kuadhibiwa.
 
Hizo haki za binadamu unazifahamu ?

Unaweza sema ni zipi zimevunjwa na China na zimelindwa na mataifa mengine ?
 
Ni taifa gani kubwa lililo ishinda Covid19 ambalo halina vifo sasa ?
Hivi unanielewa ninapozungumza kuhusu sera?

Sera ndizo zinazotoa mwelekeo wa nchi.

Embu nitajie taifa linalohaha sasaivi na covid 19, I mean sasahivi tunavyoongea zaidi ya China...?

Hii inatokana na sera mbovu za Afya.

Zero covid policy ni sera mbovu ya Afya ambayo ilikuwa inasisitiza massive lockdown, sasa madhara ya kuwekwa Karantini kwa muda mrefu kunafanya miwili kushindwa kujitengenezea kinga asilia yenyewe dhidi ya covid 19., hili sasa ndilo linalowatafuna wachina kwa sasa...

Japokuwa madaktari wa kichina walishaonya lakini selikari yao haiwasikilizi
 
Huu ni uzuzu, kama wao hawataki mnawalazimisha nini?

Yaani wazanzibar watukatae kisha bara tutake kuwatala kinguvu? Hapana haiwezekani.

US sambaza Long range missiles hapo TAIWAN mapema. Bila kusahau Patriots.
 
Back
Top Bottom