China yasema ipo tayari kuharibu uhuru wa Taiwan kwa njia yoyote

Kuna sentensi inasema ""kama itatakiwa ivyo""
 
China iache ngonjera, ivamie muda ni sasa, ikisubiria hadi Ukraine aidhibiti Urusi atakuwa kachelewa.

China kama anajiamini alianzishe hata kesho.

Japo kuna mengi China kajifunza kutokana na vita ya Ukraine.

China atahitaji kuvamia kwa ukubwa usio wa kawaida, maana yake atume ndege zaidi ya 200

Navy na landings kama zote.

Asifanye kosa la Urusi
 
Hiyo sera iliyo kuwa proposed na Deng Xiaoping na kuwa carried out na party na government ambayo imevunjwa na General secretary Xi ni ipi ?
 
Una andika vitu usivyo na uelewa navyo. unafikri China ili kuwa pale ilipo kwa huruma.

Imarisheni nchi yenu na bara lenu mambo mazuri yatakuja yenyewe tu.
Wewe fyongo kweli, sasa wewe naye utajiita una uelewa juu ya lolote lile? Kama hili dogo tu limekushinda.
 
Wazee wamekatwa pensheni zao hadi more tha 40% hakuna mzee anaeitamani CCP anymore.

China pensheni inakava mafao ya Afya na uzeeni kwa sasa wazee wakienda mahospitalini wanakumaban ma majanga ya kukuta pensheni zao za kukava Afya zimepungua.

Wafanyakazi wa selikari wamekuta pesa zao za kishahara zimekatwa upto 35% yaani kama ulikuwa unalipwa milion 1 utaanza kulipwa laki 6 mpaka 7

Janga la covid 19 kwa sasa China ndo kama limeanza, watu wanaugua maambukizi yameanza kuzidi kila mahali china

Taarifa tunazo mzeebaba...
 
SI KWELI

Hujui chochote kuhusu China habari zako unazitoa kwa sources uchwara zinazoendeshwa na watu wa magharibi wanaosambaza propaganda kuhusu China
 
Tatizo lenu mnawaza haya mambo kwa hisia zenu binafsi pasipo kufikiri faida wala hasara za maamuzi hayo.

Maamuzi lazima yapitie hatua muhimu ili yapate kukubalika na chama na serikali
 
Kama China amechoka kuimarisha uchumi wake aseme atajibiwa kadri atakavyokuja.

Hajifunzi kwa mwenzake vita vimemuelea Sasa hv hajui atatokaje pale alipovamia.
Urus vita yake na ukraine anayefirisika mdororo wa kiuchumi ni usa na washirika wake nato
Ndo kila siku maandamano

Lakini hatusikii urus vitu kupanda bei
Hatusikii maisha kuwa gharama urus kwann

Usa ajichange kwa ukraine ajichange tena kwa mchina

Iran yuko pale

Hatoweza

Bunge la usa limesema katika dola trilion 48 tayar 42 zimetumika vitan na hakuna matokeo yaliyotarajiwa

Usa ameanza kuchoka kwa sasa mbaya zaid red army ya russia haijaingia vitan ni makampuni binafs ya ulinz wagner pmc
 
China kazungukwa kila kona, Australia, South Korea, Japan, Filippine wote hao adui zake yaani atapigika upside down, atulie tu na biashara zake kutengeneza baiskeli na Cherahani
 
SI KWELI

Hujui chochote kuhusu China habari zako unazitoa kwa sources uchwara zinazoendeshwa na watu wa magharibi wanaosambaza propaganda kuhusu China
Tunaona selikari ya China inavyohaha kuimarisha mahusiano na USA kwa kuiomba mazungumzo hivi majuzi coz wanajua bila soko la Marekani na Europe hakuna China anymore wanalijua hilo
 
What is a Chinese dream? Ambayo Xi anaiimba kila siku.

What is your target on 2049?

Au unaona watu ni mabogus hatujui kinachoendelea
Huo mpango wa 2049 ni nchi kuwa Modern socialist country na kuwa self reliance in almost everything.

Mpaka sasa hiyo sera iliyokuwa abolished by General secretary Xi ambayo ilikuwa introduced na Deng Xiaoping hauja iandika watu waifahamu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…