China yatangaza kuiunga mkono Russia, yailaumu Marekani kusababisha mzozo wa Ukraine, yasema Urusi imelazimika kujilinda

China na Urusi ni mataifa hatari duniani na hayana maoenzi mema na dunia, hawana utu, kama huamini linganisha miradi inayosimamiwa na wachina haoa nchini uone kiwango cha unyanyasajiwa raia wetu, hakafu angalia NGO zinazosimamiwa na wamerekani uone ubora wa maisha ya wafanyakazi wao
Mmarekani na wamagharibi wenzake ni mbwa mwitu kwenye ngozi ya kondoo bora hao warusi na wachina wako wazi kabisa na mambo yao mmarekani na wenzie upande huu anaonyesha anakusaidia halafu upande wa pili anakukandamiza........,bora tu yule anaekuja na rangi zake halisi akaeleweka kuliko hao vigeugeu..............wanaonufaika na hao mabepari ni chawa wao tu
 
Ni kweli ni mbwa mwitu ila china na Urusi ni mbwa koko
 
Urusi hana hela ndio maana marekani kaaka kimya, utaona mwisho wa hii vita, urusi atafilisika kuliko alivo kua Soviet
Sio kwamba wakina US wanamlia timing aonyeshe kwanza silaha zake,then ndiyo wampige?
Ila sina uhakika kama hawa wazungu wanaweza kuzichapa,kuna kitu wanakicheza hapa.
 
Putin ata pata hasara na hata chukua hata jimbo moja
 
Vita ya Afghanistan na irack ili mcost marekani dola tr1 hawezi rudia huo upuuzi
 
Back
Top Bottom