Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Mmarekani na wamagharibi wenzake ni mbwa mwitu kwenye ngozi ya kondoo bora hao warusi na wachina wako wazi kabisa na mambo yao mmarekani na wenzie upande huu anaonyesha anakusaidia halafu upande wa pili anakukandamiza........,bora tu yule anaekuja na rangi zake halisi akaeleweka kuliko hao vigeugeu..............wanaonufaika na hao mabepari ni chawa wao tuChina na Urusi ni mataifa hatari duniani na hayana maoenzi mema na dunia, hawana utu, kama huamini linganisha miradi inayosimamiwa na wachina haoa nchini uone kiwango cha unyanyasajiwa raia wetu, hakafu angalia NGO zinazosimamiwa na wamerekani uone ubora wa maisha ya wafanyakazi wao