China yatangaza kuiunga mkono Russia, yailaumu Marekani kusababisha mzozo wa Ukraine, yasema Urusi imelazimika kujilinda

Sasa Waaafrika tuutumie huu mwanya wa 3WW kujiimarisha na kuwa ma great power.

Vinginevyo tutaendelea kuwa watumwa miaka nenda uje
Wakat mind zetu ni ktembea ktafta vijipesa vya miradi? Hii kitu itaishi kama ndoto had pale gharika la Nuhu litaposafisha ardhi yetu na ktengeneza kzazi tofaut kabisa na hiki
 
Sasa Waaafrika tuutumie huu mwanya wa 3WW kujiimarisha na kuwa ma great power.

Vinginevyo tutaendelea kuwa watumwa miaka nenda uje

Hahahaha hebu tuwazo yasiowazika kidogo hapo
Yaani vita itokee wasambazane na makombora yayupwe kila kona, watu billions tufe

Sasa sisi waafrika silaha zetu za jadi ndio tunajua ni fimbo na mawe
Unafikiri tunawaza basi hata siku moja kutengeneza Tanks?
Tuacheni tule makande jioni kijiweni
 
RUSSIAN FOREIGN MINISTRY SAYS RUSSIA WILL RESPOND TO EUROPEAN AND U.S. SANCTIONS IN TIT-FOR-TAT MANNER - RIA
 
[emoji187] Vladimir Putin: Over the past 30 years we have been patiently trying to come to an agreement with nato regarding the principles of equal and indivisible security in Europe.

[emoji3516] In response, we faced either cynical deception and lies or attempts at pressure and blackmail. https://t.co/vzajHJt94Z
 
Sijawahi kabisa, unaanzaje sasa kuishi china labda uwe na matatizo ya akili, au urusi, umewahi hata kutamani? Nenda US embassy kila mtu anapigania Viza zao
Duuuuh 😳🤣🤣.

Kwa hiyo Urusi ,China hakuna maisha mazuri anayopaswa kuishi binadamu ?!!!😳🤣

Starehe ,Kazi ,Bata ,huduma za kijamii zimejaa tele na supaaaa....

Haya mkuu kila la heri hapo peponi Chicago 👍
 
Ndege za Ukraine za shushwa
 
Duuuuh 😳🤣🤣.

Kwa hiyo Urusi ,China hakuna maisha mazuri anayopaswa kuishi binadamu ?!!!😳🤣

Starehe ,Kazi ,Bata ,huduma za kijamii zimejaa tele na supaaaa....

Haya mkuu kila la heri hapo peponi Chicago 👍
Kwani wachina ni binaadamu?
 
Wanaume wana pambana angalia youtube battle in feluja uta jua marekani ni mtu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…