Waafrika wepi? Au unaamanisha kina kingai ambao kazi yao kubwa ni kujaza tu vyoo vyao vya vituo vya polisi?Sasa Waaafrika tuutumie huu mwanya wa 3WW kujiimarisha na kuwa ma great power.
Vinginevyo tutaendelea kuwa watumwa miaka nenda uje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waafrika wepi? Au unaamanisha kina kingai ambao kazi yao kubwa ni kujaza tu vyoo vyao vya vituo vya polisi?Sasa Waaafrika tuutumie huu mwanya wa 3WW kujiimarisha na kuwa ma great power.
Vinginevyo tutaendelea kuwa watumwa miaka nenda uje
Wakat mind zetu ni ktembea ktafta vijipesa vya miradi? Hii kitu itaishi kama ndoto had pale gharika la Nuhu litaposafisha ardhi yetu na ktengeneza kzazi tofaut kabisa na hikiSasa Waaafrika tuutumie huu mwanya wa 3WW kujiimarisha na kuwa ma great power.
Vinginevyo tutaendelea kuwa watumwa miaka nenda uje
Garbage [emoji706][emoji706][emoji81]Urusi ana zidi kuingizwa cha kike story itabakia kwa Usa vs China ..mchina hawezi saidia chochote kuhusiana na vita
[emoji16][emoji16][emoji16]Russia anaichukua Donetsk na Luhansk.
China anaichukua Taiwan.
Marekani anabaki anabwekabweka tu.
[emoji16][emoji16][emoji16]Sisi labda tuwe great powers tukifa maana ndio huwa tunabadilika na kuwa mizimu. Wazungu wakifa wanapumzika sisi bado tunakuwa re-used
Sasa Waaafrika tuutumie huu mwanya wa 3WW kujiimarisha na kuwa ma great power.
Vinginevyo tutaendelea kuwa watumwa miaka nenda uje
Humu kuna vipofu mkuu, wazee wa mahaba Niue humu kuna watu hawana utu japo hawajijui.Mkuu, hao wenye mapenzi duniani ni tawala ngapi za halali wameziangamiza na kuharibu maisha ya raia na mielekeo ya mataifa husika kwa ujumla?
Libya, Iraq, ....
Duuuuh 😳🤣🤣.Sijawahi kabisa, unaanzaje sasa kuishi china labda uwe na matatizo ya akili, au urusi, umewahi hata kutamani? Nenda US embassy kila mtu anapigania Viza zao
Ndege za Ukraine za shushwaChina imetangaza kuiunga mkono Russia, huku ikiilaumu Marekani kwa kusababisha mzozo wa Ukraine na hata kuvamiwa kwa Ukraine (na Urusi).
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China amesema Marekani imekuwa ikituma silaha za kivita nchini Ukraine, ikatengeneza hali ya hofu na paniki (kwa Urusi, jirani wa Ukraine), na ikawa pia yafanya vitisho vya vita. Hali hiyo hatimae iliifanya Russia kutambua kuwa usalama wake upo hatarini na hivyo kulazimika kuchukua hatua za kujilinda mapema.
======
![]()
China stands by Putin as Beijing blames US for Ukraine crisis: 'Russia forced to realise security demands'
Big explosions were heard before dawn in Kyiv, Kharkiv and Odesawww.gbnews.uk
China has stood by Russia, accusing the US of causing the invasion in Ukraine.
The state-run Global Times said Washington "“finally forced Russia to try to realise its security demands in such a way".
GB News' Isabel Webster also tweeted this morning: "Chinese Foreign Ministry says they 'do not recognise' foreign reports of a Russian invasion in Ukraine."
Chinese foreign ministry spokeswoman Hua Chunying said Washington “keeps sending weapons to Ukraine, creating fear and panic and even playing up the threat of war”.
Chinese ministry spokesman, Wang Wenbin, said: “China is closely monitoring the evolving situation in Ukraine. China’s position on the Ukraine issue is consistent.
"The legitimate security concerns of any country should be respected, and the purposes and principles of the UN Charter should be jointly upheld.”
Kwani wachina ni binaadamu?Duuuuh 😳🤣🤣.
Kwa hiyo Urusi ,China hakuna maisha mazuri anayopaswa kuishi binadamu ?!!!😳🤣
Starehe ,Kazi ,Bata ,huduma za kijamii zimejaa tele na supaaaa....
Haya mkuu kila la heri hapo peponi Chicago 👍
😳😳😳🤣🤣🤣Urusi hana hela ndio maana marekani kaaka kimya, utaona mwisho wa hii vita, urusi atafilisika kuliko alivo kua Soviet
😳😳😳😳😳Kwani wachina ni binaadamu?