China yatangaza kuiunga mkono Russia, yailaumu Marekani kusababisha mzozo wa Ukraine, yasema Urusi imelazimika kujilinda

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
China imetangaza kuiunga mkono Russia, huku ikiilaumu Marekani kwa kusababisha mzozo wa Ukraine na hata kuvamiwa kwa Ukraine (na Urusi).

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China amesema Marekani imekuwa ikituma silaha za kivita nchini Ukraine, ikatengeneza hali ya hofu na paniki (kwa Urusi, jirani wa Ukraine), na ikawa pia yafanya vitisho vya vita. Hali hiyo hatimae iliifanya Russia kutambua kuwa usalama wake upo hatarini na hivyo kulazimika kuchukua hatua za kujilinda mapema.
======

China has stood by Russia, accusing the US of causing the invasion in Ukraine.

The state-run Global Times said Washington "“finally forced Russia to try to realise its security demands in such a way".

GB News' Isabel Webster also tweeted this morning: "Chinese Foreign Ministry says they 'do not recognise' foreign reports of a Russian invasion in Ukraine."

Chinese foreign ministry spokeswoman Hua Chunying said Washington “keeps sending weapons to Ukraine, creating fear and panic and even playing up the threat of war”.

Chinese ministry spokesman, Wang Wenbin, said: “China is closely monitoring the evolving situation in Ukraine. China’s position on the Ukraine issue is consistent.

"The legitimate security concerns of any country should be respected, and the purposes and principles of the UN Charter should be jointly upheld.”
 
[emoji81]Urusi ana zidi kuingizwa cha kike story itabakia kwa Usa vs China ..mchina hawezi saidia chochote kuhusiana na vita
Mrusi amekwambia anahitaji msaada wa Kivita?, Mrusi anahitaji support ya kushinda hii war of words (propaganda) na akiwekewa vizuizi na NATO / US alafu Mchina akamuunga mkono its a win for him (hapo kuna mteja wa Gas yake) na China, Russia na wachache wengine wakiungana that's a potential world superpower by far....
 
[emoji81]Urusi ana zidi kuingizwa cha kike story itabakia kwa Usa vs China ..mchina hawezi saidia chochote kuhusiana na vita
Watu wazima walishamaliza mazungumzo mapema kabisa.......Putin hakwenda Beijing bure kutizama tu olympic ,na hayo mataifa sio kama utopolo wa america ambae hadi sasa anabweka tu wenzao wanafanya mambo
 
[emoji81]Urusi ana zidi kuingizwa cha kike story itabakia kwa Usa vs China ..mchina hawezi saidia chochote kuhusiana na vita
Mtu mwenye makombora ya haipasoniki (weapons of the future) unategemea aombe msaada wa lipi ktk vita? Mwenyewe keshayabebelea a asubiri mnasaba ayatumie

China imetangaza kuiunga mkono Russia, huku ikiilaumu Marekani kwa kusababisha mzozo wa Ukraine na hata kuvamiwa kwa Ukraine (na Urusi).

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China amesema Marekani imekuwa ikituma silaha za kivita nchini Ukraine, ikatengeneza hali ya hofu na paniki (kwa Urusi, jirani wa Ukraine), na ikawa pia yafanya vitisho vya vita. Hali hiyo hatimae iliifanya Russia kutambua kuwa usalama wake upo hatarini na hivyo kulazimika kuchukua hatua za kujilinda mapema.
======

China has stood by Russia, accusing the US of causing the invasion in Ukraine.

The state-run Global Times said Washington "“finally forced Russia to try to realise its security demands in such a way".

GB News' Isabel Webster also tweeted this morning: "Chinese Foreign Ministry says they 'do not recognise' foreign reports of a Russian invasion in Ukraine."

Chinese foreign ministry spokeswoman Hua Chunying said Washington “keeps sending weapons to Ukraine, creating fear and panic and even playing up the threat of war”.

Chinese ministry spokesman, Wang Wenbin, said: “China is closely monitoring the evolving situation in Ukraine. China’s position on the Ukraine issue is consistent.

"The legitimate security concerns of any country should be respected, and the purposes and principles of the UN Charter should be jointly upheld.”
China na Urusi ni mataifa hatari duniani na hayana mapenzi mema na dunia, hawana utu, kama huamini linganisha miradi inayosimamiwa na wachina hapa nchini uone kiwango cha unyanyasajiwa raia wetu, halafu angalia NGO zinazosimamiwa na wamerekani uone ubora wa maisha ya wafanyakazi wao
 
China na Urusi ni mataifa hatari duniani na hayana maoenzi mema na dunia, hawana utu, kama huamini linganisha miradi inayosimamiwa na wachina haoa nchini uone kiwango cha unyanyasajiwa raia wetu, hakafu angalia NGO zinazosimamiwa na wamerekani uone ubora wa maisha ya wafanyakazi wao
Mkuu, hao wenye mapenzi duniani ni tawala ngapi za halali wameziangamiza na kuharibu maisha ya raia na mielekeo ya mataifa husika kwa ujumla?
Libya, Iraq, ....
 
China imetangaza kuiunga mkono Russia, huku ikiilaumu Marekani kwa kusababisha mzozo wa Ukraine na hata kuvamiwa kwa Ukraine (na Urusi).

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China amesema Marekani imekuwa ikituma silaha za kivita nchini Ukraine, ikatengeneza hali ya hofu na paniki (kwa Urusi, jirani wa Ukraine), na ikawa pia yafanya vitisho vya vita. Hali hiyo hatimae iliifanya Russia kutambua kuwa usalama wake upo hatarini na hivyo kulazimika kuchukua hatua za kujilinda mapema.
======

China has stood by Russia, accusing the US of causing the invasion in Ukraine.

The state-run Global Times said Washington "“finally forced Russia to try to realise its security demands in such a way".

GB News' Isabel Webster also tweeted this morning: "Chinese Foreign Ministry says they 'do not recognise' foreign reports of a Russian invasion in Ukraine."

Chinese foreign ministry spokeswoman Hua Chunying said Washington “keeps sending weapons to Ukraine, creating fear and panic and even playing up the threat of war”.

Chinese ministry spokesman, Wang Wenbin, said: “China is closely monitoring the evolving situation in Ukraine. China’s position on the Ukraine issue is consistent.

"The legitimate security concerns of any country should be respected, and the purposes and principles of the UN Charter should be jointly upheld.”
Waafrika wanamuunga nani
 
Sasa China anawezaje kuipinga Russia wakati kilichofanyika kina tofauti ndogo ila ni kilekile na kesi ya Taiwan au Hong Kong kwa China. Ni sawa na nikikuhakikishia hutokaa usikie serikali ya Uingereza inaunga mkono watu wa jimbo la Cataluna wanavyotaka kujitenga na Spain kwa vile UK nayo inaweza kumbwa na hitaji la watu wa Ireland au Scotland kujitenga.

Yani hutosikia mfano Tanzania inaunga mkono mojawapo ya kisiwa cha Shelisheli kujitenga wakati Zanzibar ina vuguvugu la chini kwa chini. Na nchi zenye Veto power huwa zinawekeana reserve ya kuteteana hata kama kitu ni kibaya. George Bush Jr. na Tony Blair si waliingia Iraq kinyume cha Baraza la Usalama la UN wakienda kutafuta silaha ambazo hazipo. Nani aliwahi funguliwa kesi?

Yemen si inashambuliwa na Saudi Arabia kupambana na waasi ili kurudisha serikali ambayo ni Saudi Arabia tu inaitaka kisa wote ni Wasunni, nani atailazimisha Saudia iache. Ikitokea WW3 miaka kadha baadae watu watakuwa wanasoma historia jinsi UN ilivyokuwa weak
 
Sasa Waaafrika tuutumie huu mwanya wa 3WW kujiimarisha na kuwa ma great power.
Vinginevyo tutaendelea kuwa watumwa miaka nenda uje
Great power? kwa lipi? nchi ina thamini hawa wanaoitwa chawa kuliko wasomi. Tanzania wakose mvua, chakula hata umeme lakini wakikosa umbea watu watakufa wewe zima net tu utasema kila nyumba imefiwa.
 
China na Urusi ni mataifa hatari duniani na hayana maoenzi mema na dunia, hawana utu, kama huamini linganisha miradi inayosimamiwa na wachina haoa nchini uone kiwango cha unyanyasajiwa raia wetu, hakafu angalia NGO zinazosimamiwa na wamerekani uone ubora wa maisha ya wafanyakazi wao
😳🤣🤣🤣

Penda na kufuatilia taarifa za habari za vyombo visivyo vya nchi za magharibi....
 
Back
Top Bottom