STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
They are clearly already prepared for any sanction they could face, they wouldn't have invaded if sanctions would bring them down
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SOKO letu kubwa liko ULAYA na DUKA letu tunalotegemea ni CHINA...Madeni tuayodaiwa ni kama Spika aliyejiuzulu alivyosema.. Utumwa hautoishaSasa Waaafrika tuutumie huu mwanya wa 3WW kujiimarisha na kuwa ma great power.
Vinginevyo tutaendelea kuwa watumwa miaka nenda uje
Nchi za magharibi ikiwemo Marekani kupitia media zao wamefanikiwa sana kutufanya mako9loni yao kifikra zaidi ya hata walivyowatawala mababu zetu. It is a shame sana mtu kukurupuka tu na kusema Urusi na China ni mataifa hatari wakati hawajawahi hata kuitawala Tanzania wala kuinyonya waloa kuitumikisha wala kutishia kuipiga Tanzania.😳🤣🤣🤣
Penda na kufuatilia taarifa za habari za vyombo visivyo vya nchi za magharibi....
😍Nchi za magharibi ikiwemo Marekani kupitia media zao wamefanikiwa sana kutufanya mako9loni yao kifikra zaidi ya hata walivyowatawala mababu zetu. It is a shame sana mtu kukurupuka tu na kusema Urusi na China ni mataifa hatari wakati hawajawahi hata kuitawala Tanzania wala kuinyonya waloa kuitumikisha wala kutishia kuipiga Tanzania.
Urusi wanajihami kwa usalama wao ambao unataka kuwekwa rehani na Marekani wakishirikiana na umoja wa usalam wa Europe kupitia NATO
UKraine ni victim tu lakini mtu mbaya hapo ni NATO na USA