China yatangaza nyongeza ya asilimia 84% ya ushuru kwa bidhaa za Marekani

Ikumbukwe marekani iliweka ushuru wa asilimia 34% kwa China nayo China ikajibu kwa nyongeza ya asilimia 34, marekani ikaongeza asilimia 50% China nayo imetangaza nyongeza ya asilimia 84%
 
Katika huu mgogoro Kuna "neema" naiona! Sio kama "nabii" but learning from history! The fall of Empires!

Empires nyingi za kale zinapokaribia kuporomoko huwa zinafanya serial mistakes!

Marekani Sio Tena kiini Cha uchumi wa Dunia kwa Sasa! Namaanisha chukulia hapa Tanzania na nchi nyingi, ni bidhaa gani ya Marekani tunaitumia Kila siku? Zaidi ya starehe za kimtandao?

Nchi za zinaweza ku-survive bila Marekani! Ila Marekani hawezi ku-survive bila nchi za Dunia! Na huu ni mwanzo!

Baada ya hapa world order will not be the same again!

Hivi topic ya "globalization" Bado inafundishwa vyuoni?

Tusibiri kuona!
 
BREAKING: πŸ‡¨πŸ‡³ China to impose another 84% tariff on US goods.

China imekataa unyonge kwa Taifa lililofeli la Marekani chini ya Lopolopo Donald Trump.
Marekani ni Taifa linaongoza kwa Wivu na Ubinafsi sasa Mambo yamebadilika anajitahidi kuonyesha umwamba uliopotea hawana tena huo ubavu Russia kaisadia Dunia kujua udhaifu wa Marekani.

Anadindiwa mpaka na wanamgambo wa HouthπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wivu umeanzia hapa⬇️
1990:
πŸ‡ΊπŸ‡Έ Top exporter to 175 countries
πŸ‡¨πŸ‡³ Top exporter to 8 countries

2000:
πŸ‡ΊπŸ‡Έ Top exporter to 155 countries
πŸ‡¨πŸ‡³ Top exporter to 15 countries

2010:
πŸ‡ΊπŸ‡Έ Top exporter to 85 countries
πŸ‡¨πŸ‡³ Top exporter to 55 countries

2024:
πŸ‡ΊπŸ‡Έ Top exporter to 35 countries
πŸ‡¨πŸ‡³ Top exporter to 125 countries

Our politicians let this happen
 
Safi sana, tena China imeitaka dunia kuungana dhidi ya kile ilichoita ''trade tyranny'' ya Donald Trump.

Kama yeye amezuia misaada yote hadi kwa wakimbizi, ana nini cha kutusaidia tena?

Ni kupiga marufuku bidhaa za kutoka Marekani kuingia nchi yeyote, na asipate bidhaa kutoka kokote, ajitegemee mwenyewe tu.

Pumbafu kabisa Turampu.
 
Acha tuone nani atatupa Taulo kati ya Marekani na China
 
Mmmhhh! Kuna biashara na huduma. Hii vita Mchina atanyoosha mikono itategemea na hazina ya kila upande mfuko wake umemaaje i ku subsidize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…