Black Mirror
JF-Expert Member
- Oct 17, 2019
- 973
- 1,274
Ni wazo zuri maana dunia haina tena cha kupoteza kutoka kwa MarekaniSafi sana, tena China imeitaka dunia kuungana dhidi ya kile ilichoita ''trade tyranny'' ya Donald Trump.
Kama yeye amezuia misaada yote hadi kwa wakimbizi, ana nini cha kutusaidia tena?
Ni kupiga marufuku bidhaa za kutoka Marekani kuingia nchi yeyote, na asipate bidhaa kutoka kokote, ajitegemee mwenyewe tu.
Pumbafu kabisa Turampu.