China yatangaza nyongeza ya asilimia 84% ya ushuru kwa bidhaa za Marekani

#BREAKING 🇨🇳#CHINA to lift additional tariffs to 84% on ALL imported🇺🇸, effective from April 10th.

As I said, don't underestimate China's determination to safeguard its legitimate rights and interesting when facing the U.S. global #tariffs bully.
 
Ikumbukwe marekani iliweka ushuru wa asilimia 34% kwa China nayo China ikajibu kwa nyongeza ya asilimia 34, marekani ikaongeza asilimia 50% China nayo imetangaza nyongeza ya asilimia 84%
Wewe marekani kaiwekea 104 .............wenyewe ndio wamejibu 84..........na hapa ndio tunaona kuwa china bado ajajipata............akaze aweke na yeye sawa kwa sawa ili tuone kama anaweza kwenda mbio ............au sisi tu africa ndio anajua kutuchezesha makida
 
Tanzania labda sisiyemu na Mwenge wake watoke madarakani
 
Trump huwa anajiona kama nani sijui! Kwa kuiwekea vikwazo vua kibiashara China, maana yake hasara haitakuwa kwa China tu! Na badala yake itakuwa ni ya pande zote mbili.
Hasara ya kutokuona kati ya kipofu na mlemavu wa mguu naamini tutaanza kuzitenganisha kwa matokeo.
 
Trump kasema: The world countries need USA than USA needs the world!
 
Ndio simu alikuwa anasubilia Tramp!!! Sasa sijui ataongeza ngqpi tena!!! Yeye acheze na Ulaya tu China sio size yake kwasasa,, China kashavuka muda w kuwekewa vikwazo !!!!

CHINA kasambaza Viwanda duniani kote ww unakaba made in China unapokea made in Tanzania au Chile ukitumia Tochi ndaniyake kuna Mchina!!!!!!!

Tramp kajibebesha zigo la Takataka ata ishia kuumia tuuu!!!
 
Tulikuwa tunaambiwa tunahitaji rais tajiri mara Marekani inaongozwa na mifumo imara hata ipate rais kichaa anadhibitika.

Mzee wa wig alipoongeza ushuru,alitarajia kupigiwa simu kubembelezwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…