Mchina ngumu kuombo pooo Sababu ipo apa!!Mmmhhh! Kuna biashara na huduma. Hii vita Mchina atanyoosha mikono itategemea na hazina ya kila upande mfuko wake umemaaje i ku subsidize
Hawezi kunyoosha mkono bidhaa marekani zita skyrocket. Kumbuka mchina ndiye anayetengeneza bidhaa za kawaida za kila siku zinazotumika marekani. kuanzia nguo, vifaa vya nyumbani n.k. Yani raia wa kawaida anaenda kuhisi maumivu zaidi.Mmmhhh! Kuna biashara na huduma. Hii vita Mchina atanyoosha mikono itategemea na hazina ya kila upande mfuko wake umemaaje i ku subsidize
Elon Musk ashaanza kulia. unaambiwa zaidi ya body ya gari ndiyo inatengenezwa marekani vingine vyote vinatengenezwa nje. suspension, canada, battery na software testing china, sijui mengine europe na kote huko trump kalima tariff. interview ya elon musk ya juzi anatia huruma. mdogo wake kamshambulia mshauri wa trump x juzi bila shaka mawazo yake ndo mawazo ya musk.Mchina ngumu kuombo pooo Sababu ipo apa!!
Mchina kasambaza Viwanda nchi nyingi manake Marekani kawekwa na Mchina kwenye Mgogolo na nchi nyingi ukizuiya Made in China utaruusu made in Zambia ukitumia tochi ndani yake Mchina yupo..
Marekani apo ndio ata kwama mchina anaweza toa ruzuku kwa Viwanda vilivo nje ya China
kufikiapo apo nini kitatokea bidhaa zitakwenda Marekani kutokea nchi nyengine kuchochea migogolo kati ya Marekani na nchi zengine !!!
ivyo China atanufaika yeye Kwakua yeye ayupo kwenye Mgogolo na nchi zengine Zaid ya Marekani tu..
Njaa,japo watu hawaioni.Marekani ana njaa kali japo ukubwa wake unaificha.Ndio kwanza dakika ya kwanza.
Hawa Marekani na China watatoana roho safari hii, Trump ana kisirani kweli kweli na China sijui walimkosea nini ?
Ngumu wote wanahitajiana ila demand za trump zinashangaza. EU wenyewe juzi wamepeleka proposal ya zero tariff, kaikataa anasema wanunue gas kutoka kwake ku cover deficit ya 300 bilion dollars wanazoizidi Marekani katika biashara wanazouza kwake.Sasa kama wanakamiana kwenye ushuru si bora waache kufanyiana biashara? Kila nchi itengeneze bidhaa zake akaziuze kwenye nchi zingine
Watasaga meno maana maamuzi yao ni ya kibabe😄 akili kisoda. Wamekata matawi waliokuwa wamekaliaElon Musk ashaanza kulia. unaambiwa zaidi ya body ya gari ndiyo inatengenezwa marekani vingine vyote vinatengenezwa nje. suspension, canada, battery na software testing china, sijui mengine europe na kote huko trump kalima tariff. interview ya elon musk ya juzi anatia huruma. mdogo wake kamshambulia mshauri wa trump x juzi bila shaka mawazo yake ndo mawazo ya musk.
EU sijui anasubiri nini. Hapo aungane na china tu na juzi eti wametishia kuacha kutumia visa na mastercard wafanye tu waungane na china US atasanda. Trump anahisi nchi yake ni the most important ya kupigia magoti na atapata kila anachotaka. Ndiyo ilikuwa hivyo ila sasa kavuruga sanaWatasaga meno maana maamuzi yao ni ya kibabe😄 akili kisoda. Wamekata matawi waliokuwa wamekalia
Safii, wanaosapoti ushoga na ugaidi wa mazayuni pia na nchi za magharibi hawana amani na huu uziKazi bado inaendelea ni vuta nikuvute kati ya utawala wa Trump na nchi ya China katika vita vya ushuru.
BREAKING: 🇨🇳🇺🇸 China announces additional 84% tariff on US goods.
View: https://x.com/WatcherGuru/status/1909925306560885110?t=-ienhln5-MyLFFrJ4DBwBQ&s=19
Hahahahah sahizi Marekani anaonekana Kibonde tu kwa kila mtu. Watu wanaivimbia kila kukichaEU sijui anasubiri nini. Hapo aungane na china tu na juzi eti wametishia kuacha kutumia visa na mastercard wafanye tu waungane na china US atasanda. Trump anahisi nchi yake ni the most important ya kupigia magoti na atapata kila anachotaka. Ndiyo ilikuwa hivyo ila sasa kavuruga sana
Nchi za ulaya na canada wana movement ya kukataa kutumia bidhaa za marekani japo nadhani hawawezi maana wana bidhaa nyingi kutoka kwao. EU ilisema jana itaweka digital tariff kwa makampuni kama google, meta, apple maana wanadai huwa hawayatozi kodi kubwa na trump anasahau nchi yake ndiyo inaongoza kwa trade deficit kwa digital services duniani. hilo hataki kulisema yeye deficit anaiona tu kwenye physical goods.Hahahahah sahizi Marekani anaonekana Kibonde tu kwa kila mtu. Watu wanaivimbia kila kukicha
Unataka ccmu ipate msaada wa kuwalipa wasanii?Safi sana, tena China imeitaka dunia kuungana dhidi ya kile ilichoita ''trade tyranny'' ya Donald Trump.
Kama yeye amezuia misaada yote hadi kwa wakimbizi, ana nini cha kutusaidia tena?
Ni kupiga marufuku bidhaa za kutoka Marekani kuingia nchi yeyote, na asipate bidhaa kutoka kokote, ajitegemee mwenyewe tu.
Pumbafu kabisa Turampu.
MAGAKatika huu mgogoro Kuna "neema" naiona! Sio kama "nabii" but learning from history! The fall of Empires!
Empires nyingi za kale zinapokaribia kuporomoko huwa zinafanya serial mistakes!
Marekani Sio Tena kiini Cha uchumi wa Dunia kwa Sasa! Namaanisha chukulia hapa Tanzania na nchi nyingi, ni bidhaa gani ya Marekani tunaitumia Kila siku? Zaidi ya starehe za kimtandao?
Nchi za zinaweza ku-survive bila Marekani! Ila Marekani hawezi ku-survive bila nchi za Dunia! Na huu ni mwanzo!
Baada ya hapa world order will not be the same again!
Hivi topic ya "globalization" Bado inafundishwa vyuoni?
Tusibiri kuona!
Hii ipo wazi sana ila nashangaa vichwa maji hawaelewiKatika huu mgogoro Kuna "neema" naiona! Sio kama "nabii" but learning from history! The fall of Empires!
Empires nyingi za kale zinapokaribia kuporomoko huwa zinafanya serial mistakes!
Marekani Sio Tena kiini Cha uchumi wa Dunia kwa Sasa! Namaanisha chukulia hapa Tanzania na nchi nyingi, ni bidhaa gani ya Marekani tunaitumia Kila siku? Zaidi ya starehe za kimtandao?
Nchi za zinaweza ku-survive bila Marekani! Ila Marekani hawezi ku-survive bila nchi za Dunia! Na huu ni mwanzo!
Baada ya hapa world order will not be the same again!
Hivi topic ya "globalization" Bado inafundishwa vyuoni?
Tusibiri kuona
Unamaanisha kwa ujumla China imeweka ushuru wa 130%+?Ikumbukwe marekani iliweka ushuru wa asilimia 34% kwa China nayo China ikajibu kwa nyongeza ya asilimia 34, marekani ikaongeza asilimia 50% China nayo imetangaza nyongeza ya asilimia 84%
Moisemusajiografii ...Mpaka nimuone kwa mara ya Kwanza mchina mwenye macho makubwa ndiyo nitaamini kuna ushindani sahili.