Sio kumuwaza tu ameshafeli labda aingie vitani mzimamzima ili dunia yote ipoteze... Vinginevyo marekani itakuja iwe kama Uingereza huku nguvu ikihamia kwa wakomunistAisee marekani ataendelea kumuwaza sana mchina
This is too bad for the game and it's astonishing. Let's wait for it.Watengenezaji wa betri wa China Betavolt wamezindua BV100, betri ya nyuklia ya ukubwa wa sarafu inayoendeshwa na isotopu ya nikeli-63 yenye mionzi, yenye uwezo wa kudumu kwa miaka 50 bila chaji au matengenezo.
Betri hiyo hutumia teknolojia ya kizazi cha nne ya semicondukta ya almasi ya China, wachina wakianza kutengeneza battery hizi kwaajili ya simu, basi utatumia simu yako kwa zaidi ya miaka 50 hamsini bila kuchaji 😊
Ingawa current output ya sasa ni maikrowati 100 kwa volti 3, Betavolt inapanga toleo la nguvu zaidi la wati moja kwa ndege zisizo na rubani na vifaa vya kielektroniki vya watumiaji, na hivyo kuchochea mbio za kimataifa katika uvumbuzi wa betri za nyuklia.
Xi Jinping umesikia hii?
Battery ndogo yenye ukubwa wa silver maana yake drone, simu nk vitaweza kuishi bila kuchaji kwa miaka mingi
View attachment 3294458
Chinese battery manufacturer Betavolt has unveiled the BV100, a coin-sized nuclear battery powered by a radioactive nickel-63 isotope, capable of lasting 50 years without charging or maintenance.
The battery leverages China's fourth-generation diamond semiconductor technology to efficiently convert radioactive decay into electricity, offering an energy density over ten times that of lithium batteries.
While the current output is 100 microwatts at 3 volts, Betavolt plans a more powerful one-watt version for drones and consumer electronics, fueling a global race in nuclear battery innovation.
Ingekua ni iphone au Samsung ingekua hivo lakini kwa wachina ni tofauti...Bei ya simu itakuwa mara dufu.
Imeandikwa haitakiwi kubomolewa ikija Tz sijui kama tutabaki salamaWatengenezaji wa betri wa China Betavolt wamezindua BV100, betri ya nyuklia ya ukubwa wa sarafu inayoendeshwa na isotopu ya nikeli-63 yenye mionzi, yenye uwezo wa kudumu kwa miaka 50 bila chaji au matengenezo.
Betri hiyo hutumia teknolojia ya kizazi cha nne ya semicondukta ya almasi ya China, wachina wakianza kutengeneza battery hizi kwaajili ya simu, basi utatumia simu yako kwa zaidi ya miaka 50 hamsini bila kuchaji 😊
Ingawa current output ya sasa ni maikrowati 100 kwa volti 3, Betavolt inapanga toleo la nguvu zaidi la wati moja kwa ndege zisizo na rubani na vifaa vya kielektroniki vya watumiaji, na hivyo kuchochea mbio za kimataifa katika uvumbuzi wa betri za nyuklia.
Xi Jinping umesikia hii?
Battery ndogo yenye ukubwa wa silver maana yake drone, simu nk vitaweza kuishi bila kuchaji kwa miaka mingi
View attachment 3294458
Chinese battery manufacturer Betavolt has unveiled the BV100, a coin-sized nuclear battery powered by a radioactive nickel-63 isotope, capable of lasting 50 years without charging or maintenance.
The battery leverages China's fourth-generation diamond semiconductor technology to efficiently convert radioactive decay into electricity, offering an energy density over ten times that of lithium batteries.
While the current output is 100 microwatts at 3 volts, Betavolt plans a more powerful one-watt version for drones and consumer electronics, fueling a global race in nuclear battery innovation.
Upewe simu huna haja ya kuchaji kwa bei ya infinix?Ingekua ni iphone au Samsung ingekua hivo lakini kwa wachina ni tofauti...
Wachina hata wakigundua roho watauza bei rahisi hadi ushangae
Sio mbaya ni nzuri katika kuwapoteza walioikoloni dunia yoteThis is too bad for the game and it's astonishing. Let's wait for it.
ElimuImeandikwa haitakiwi kubomolewa ikija Tz sijui kama tutabaki salama
Betri za nyuklia, alafu simu muda wote zipo kwenye mfuko wa suruali karibu na kiuno. Mbona kama wanatarget nguvu zetu za kiume na uwezo wa utungishaji mimba?Watengenezaji wa betri wa China Betavolt wamezindua BV100, betri ya nyuklia ya ukubwa wa sarafu inayoendeshwa na isotopu ya nikeli-63 yenye mionzi, yenye uwezo wa kudumu kwa miaka 50 bila chaji au matengenezo.
Betri hiyo hutumia teknolojia ya kizazi cha nne ya semicondukta ya almasi ya China, wachina wakianza kutengeneza battery hizi kwaajili ya simu, basi utatumia simu yako kwa zaidi ya miaka 50 hamsini bila kuchaji 😊
Ingawa current output ya sasa ni maikrowati 100 kwa volti 3, Betavolt inapanga toleo la nguvu zaidi la wati moja kwa ndege zisizo na rubani na vifaa vya kielektroniki vya watumiaji, na hivyo kuchochea mbio za kimataifa katika uvumbuzi wa betri za nyuklia.
Xi Jinping umesikia hii?
Battery ndogo yenye ukubwa wa silver maana yake drone, simu nk vitaweza kuishi bila kuchaji kwa miaka mingi
View attachment 3294458
Chinese battery manufacturer Betavolt has unveiled the BV100, a coin-sized nuclear battery powered by a radioactive nickel-63 isotope, capable of lasting 50 years without charging or maintenance.
The battery leverages China's fourth-generation diamond semiconductor technology to efficiently convert radioactive decay into electricity, offering an energy density over ten times that of lithium batteries.
While the current output is 100 microwatts at 3 volts, Betavolt plans a more powerful one-watt version for drones and consumer electronics, fueling a global race in nuclear battery innovation.
Bei itakua kubwa lakini utaweza kuimudu... Wachina hawatoi kitu ambacho kitakushinda kumilikiUpewe simu huna haja ya kuchaji kwa bei ya infinix?
Huu ndiyo usupa pawa wa kweli na siyo ushenzi kama wa wazunguWatengenezaji wa betri wa China Betavolt wamezindua BV100, betri ya nyuklia ya ukubwa wa sarafu inayoendeshwa na isotopu ya nikeli-63 yenye mionzi, yenye uwezo wa kudumu kwa miaka 50 bila chaji au matengenezo.