Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,420
- 92,254
Unawaza nini kidole shavuni hichoBas bas mwishoe nitaharibu Uzi wa kamandaš
Unawaza nini kidole shavuni hichoBas bas mwishoe nitaharibu Uzi wa kamandaš
Nguvu za kiume ni mazoezi na kula vizuri tu...Nilisikia kijiweni nikaogopa Sana.
Nguvu za kiume hazina spea ujue!
Nitakuvizia chitchat hapa si mahala pakeUnawaza nini kidole shavuni hicho
Hahaha š, kunani tena.Sitaki majaribu, nimeokoka
Haya poa, byeNitakuvizia chitchat hapa si mahala pake
Mimi nitaendelea kutumia betri hizi hizi za kizamani. Hizo za nyuklia nitawaachia nyie.Analyse kwema boss? Habari ya siku. Nguvu za kiume zilindwe kwa ajili ya mishangazi sio
Hapa Huawei wakianza mapema iPhone na Samsung watajitafuta pa kushikiliaInfinix waeke hii battery š š š
Humu JF eti wanasema hivyo havisidii katika kujenga nguvu za kiume ndo maana siko tayari kuzichezea hizi nilizonazo.Nguvu za kiume ni mazoezi na kula vizuri tu...
Ninyi nyani mstaarabu hakuna kabisa kwenu, hata choo zenu hamjui kusafishaWewe unao ugunduzi yaani matusi na kushobokea kuwasifia wenzako kwa kutukana wengine. Kama wewe ni gabacholi ndo usiseme. Nyie ni absiii
ShtukaHumu JF eti wanasema hivyo havisidii katika kujenga nguvu za kiume ndo maana siko tayari kuzichezea hizi nilizonazo.
Kuwapoteza siyo kwa kizazi chetu,labda tuongee kwa kujifariji.Sio mbaya ni nzuri katika kuwapoteza walioikoloni dunia yote
Mpenzi wangu Anastasia21 ndiye aliniambia hivyo. Naye nisimwamini?Shtuka
Twende na mabadiliko ya Dunia nguvu za kiume ukibakia naza kuzalisha watoto inatosha, upo over 30 yrs ushafanya starehe zote bado unalilia nguvu za kiume kwa ajili ya starehe na mishangazišMimi nitaendelea kutumia betri hizi hizi za kizamani. Hizo za nyuklia nitawaachia nyie.
Nguvu za kiume zinatakiwa kulindwa kwa wivu mkubwa sana, siunajua mashangazi yanapenda shoo heavy.
Mpaka muda huu tumeona nafuu kwa asilimia kubwa sana sababu ya china... Wewe hushangai kipindi mabeberu wwmehodhi kila kitu nyerere mwenyewe alikuwa anaficha TV kuonesha ni kitu cha thamani sana lakini ingekua ni china vingekua vitu vya kawaidaKuwapoteza siyo kwa kizazi chetu,labda tuongee kwa kujifariji.
No reform, no election ndo tunachowezaWatengenezaji wa betri wa China Betavolt wamezindua BV100, betri ya nyuklia ya ukubwa wa sarafu inayoendeshwa na isotopu ya nikeli-63 yenye mionzi, yenye uwezo wa kudumu kwa miaka 50 bila chaji au matengenezo.
Betri hiyo hutumia teknolojia ya kizazi cha nne ya semicondukta ya almasi ya China, wachina wakianza kutengeneza battery hizi kwaajili ya simu, basi utatumia simu yako kwa zaidi ya miaka 50 hamsini bila kuchaji š
Ingawa current output ya sasa ni maikrowati 100 kwa volti 3, Betavolt inapanga toleo la nguvu zaidi la wati moja kwa ndege zisizo na rubani na vifaa vya kielektroniki vya watumiaji, na hivyo kuchochea mbio za kimataifa katika uvumbuzi wa betri za nyuklia.
Xi Jinping umesikia hii?
Battery ndogo yenye ukubwa wa silver maana yake drone, simu nk vitaweza kuishi bila kuchaji kwa miaka mingi
View attachment 3294458
Chinese battery manufacturer Betavolt has unveiled the BV100, a coin-sized nuclear battery powered by a radioactive nickel-63 isotope, capable of lasting 50 years without charging or maintenance.
The battery leverages China's fourth-generation diamond semiconductor technology to efficiently convert radioactive decay into electricity, offering an energy density over ten times that of lithium batteries.
While the current output is 100 microwatts at 3 volts, Betavolt plans a more powerful one-watt version for drones and consumer electronics, fueling a global race in nuclear battery innovation.
Yeah niliisikiaIngawa current output ya sasa ni maikrowati 100 kwa volti 3, Betavolt inapanga toleo la nguvu zaidi la wati moja kwa ndege zisizo na rubani na vifaa vya kielektroniki vya watumiaji, na hivyo kuchochea mbio za kimataifa katika uvumbuzi wa betri za nyuklia.
@Xi Jinping umesikia hii?