SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
MlipukeIletwe Haraka Battery Tuweke Kwenye Simu
MlipukeIletwe Haraka Battery Tuweke Kwenye Simu
Ndio maana Donald Trump anaongea kama kitoto kichokutwa kinaiba mboga jikoni 😁😁Yeah niliisikia
Ilizinduliwa January mwaka huu sasa wanaingia kwenye mass production
Betalovt ni game changer
Scam, niliwahi kudangamywa kitu kama hiki mda sana, hakuna battery ya namna hii, mostly watu wana post April fools.Watengenezaji wa betri wa China Betavolt wamezindua BV100, betri ya nyuklia ya ukubwa wa sarafu inayoendeshwa na isotopu ya nikeli-63 yenye mionzi, yenye uwezo wa kudumu kwa miaka 50 bila chaji au matengenezo.
Betri hiyo hutumia teknolojia ya kizazi cha nne ya semicondukta ya almasi ya China, wachina wakianza kutengeneza battery hizi kwaajili ya simu, basi utatumia simu yako kwa zaidi ya miaka 50 hamsini bila kuchaji 😊
Ingawa current output ya sasa ni maikrowati 100 kwa volti 3, Betavolt inapanga toleo la nguvu zaidi la wati moja kwa ndege zisizo na rubani na vifaa vya kielektroniki vya watumiaji, na hivyo kuchochea mbio za kimataifa katika uvumbuzi wa betri za nyuklia.
Xi Jinping umesikia hii?
Battery ndogo yenye ukubwa wa silver maana yake drone, simu nk vitaweza kuishi bila kuchaji kwa miaka mingi
View attachment 3294458
Chinese battery manufacturer Betavolt has unveiled the BV100, a coin-sized nuclear battery powered by a radioactive nickel-63 isotope, capable of lasting 50 years without charging or maintenance.
The battery leverages China's fourth-generation diamond semiconductor technology to efficiently convert radioactive decay into electricity, offering an energy density over ten times that of lithium batteries.
While the current output is 100 microwatts at 3 volts, Betavolt plans a more powerful one-watt version for drones and consumer electronics, fueling a global race in nuclear battery innovation.
Ndio maana Donald Trump anaongea kama kitoto kichokutwa kinaiba mboga jikoni 😁😁
Trump kasema hatua anazochukua japo zitaleta maumivu kwa wamarekani, wamarekani wajue ni sababu ya vita vya kiuchumi kutoka kwa wachina eti
No reform no electionYeah niliisikia
Ilizinduliwa January mwaka huu sasa wanaingia kwenye mass production
Betalovt ni game changer
🔵 Hawa ndio mnaowacheka kuwa hawana diniWatengenezaji wa betri wa China Betavolt wamezindua BV100, betri ya nyuklia ya ukubwa wa sarafu inayoendeshwa na isotopu ya nikeli-63 yenye mionzi, yenye uwezo wa kudumu kwa miaka 50 bila chaji au matengenezo.
Betri hiyo hutumia teknolojia ya kizazi cha nne ya semicondukta ya almasi ya China, wachina wakianza kutengeneza battery hizi kwaajili ya simu, basi utatumia simu yako kwa zaidi ya miaka 50 hamsini bila kuchaji 😊
Ingawa current output ya sasa ni maikrowati 100 kwa volti 3, Betavolt inapanga toleo la nguvu zaidi la wati moja kwa ndege zisizo na rubani na vifaa vya kielektroniki vya watumiaji, na hivyo kuchochea mbio za kimataifa katika uvumbuzi wa betri za nyuklia.
Xi Jinping umesikia hii?
Battery ndogo yenye ukubwa wa silver maana yake drone, simu nk vitaweza kuishi bila kuchaji kwa miaka mingi
View attachment 3294458
Chinese battery manufacturer Betavolt has unveiled the BV100, a coin-sized nuclear battery powered by a radioactive nickel-63 isotope, capable of lasting 50 years without charging or maintenance.
The battery leverages China's fourth-generation diamond semiconductor technology to efficiently convert radioactive decay into electricity, offering an energy density over ten times that of lithium batteries.
While the current output is 100 microwatts at 3 volts, Betavolt plans a more powerful one-watt version for drones and consumer electronics, fueling a global race in nuclear battery innovation.
Sisi watanzania tunakwama wapi kufanya tafiti na ugunduzi Kama huu.Bei ya simu itakuwa mara dufu.
😂😂😂🔵 Hawa ndio mnaowacheka kuwa hawana dini
🔵 Hawa ndio mnaowacheka kuwa wanakula kitimoto mlichodanganywa na mwarabu kuwa ni haearmu
🔵 Hawa ndio wanakula nyoka, mbwa, makonokono ambavyo mmedanganywa na Babu zenu kuwa ni haramu na nuksi
Dah mkuu mbona unatusagia kunguni hivyo[emoji838] Hawa ndio mnaowacheka kuwa hawana dini
[emoji838] Hawa ndio mnaowacheka kuwa wanakula kitimoto mlichodanganywa na mwarabu kuwa ni haearmu
[emoji838] Hawa ndio wanakula nyoka, mbwa, makonokono ambavyo mmedanganywa na Babu zenu kuwa ni haramu na nuksi
[emoji23][emoji23][emoji23]Sisi huku tunafundishwa eti Panzi ana miguu mingapi, wenzetu wanafundishwa namna ya kuunda betri za Nyuklia.
atazimia kwa kifafa..🤣Aisee marekani ataendelea kumuwaza sana mchina
Wanakutengenezea kulingana na uwezo wakoBei itakua kubwa lakini utaweza kuimudu... Wachina hawatoi kitu ambacho kitakushinda kumiliki
Hiyo ni kawaida. USA amekuwa super power kuanzia karne ya 20 kabla ya hapo zilikuwepo nyingine kama vile British Empire, Roman Empire, Turkey, Mongolia, Japan etcSio kumuwaza tu ameshafeli labda aingie vitani mzimamzima ili dunia yote ipoteze... Vinginevyo marekani itakuja iwe kama Uingereza huku nguvu ikihamia kwa wakomunist
Hilo nalo ni neno. Wabongo tulivyo careless, hiyo betri itakujaleta balaa lenye maafa makubwa badala ya baraka na neema. Kwa nini? Wengi wetu hatusomi maelekezo ya mtengenezaji, simu ndo imekuwa toy ya kumbembeleza mtoto asilie, zipo ajali nying za simu kudondoka kwenye maji na maji hayo huendelea kutumika. Wengi wetu hatujui ni viwango gani vya mionzi ambavyo miili yetu inaweza kuhimili bila madhara e.g. saratani n.k.Imeandikwa haitakiwi kubomolewa ikija Tz sijui kama tutabaki salama
😁😁😁Mpaka muda huu tumeona nafuu kwa asilimia kubwa sana sababu ya china... Wewe hushangai kipindi mabeberu wwmehodhi kila kitu nyerere mwenyewe alikuwa anaficha TV kuonesha ni kitu cha thamani sana lakini ingekua ni china vingekua vitu vya ka
👍Hilo nalo ni neno. Wabongo tulivyo careless, hiyo betri itakujaleta balaa lenye maafa makubwa badala ya baraka na neema. Kwa nini? Wengi wetu hatusomi maelekezo ya mtengenezaji, simu ndo imekuwa toy ya kumbembeleza mtoto asilie, zipo ajali nying za simu kudondoka kwenye maji na maji hayo huendelea kutumika. Wengi wetu hatujui ni viwango gani vya mionzi ambavyo miili yetu inaweza kuhimili bila madhara e.g. saratani n.k.