China yatengeneza betri ndogo za nyuklia zenye ukubwa wa sarafu

Wewe unao ugunduzi yaani matusi na kushobokea kuwasifia wenzako kwa kutukana wengine. Kama wewe ni gabacholi ndo usiseme. Nyie ni absiii
Ninyi nyani mstaarabu hakuna kabisa kwenu, hata choo zenu hamjui kusafisha
 
Mimi nitaendelea kutumia betri hizi hizi za kizamani. Hizo za nyuklia nitawaachia nyie.

Nguvu za kiume zinatakiwa kulindwa kwa wivu mkubwa sana, siunajua mashangazi yanapenda shoo heavy.
Twende na mabadiliko ya Dunia nguvu za kiume ukibakia naza kuzalisha watoto inatosha, upo over 30 yrs ushafanya starehe zote bado unalilia nguvu za kiume kwa ajili ya starehe na mishangazi😄
 
Kuwapoteza siyo kwa kizazi chetu,labda tuongee kwa kujifariji.
Mpaka muda huu tumeona nafuu kwa asilimia kubwa sana sababu ya china... Wewe hushangai kipindi mabeberu wwmehodhi kila kitu nyerere mwenyewe alikuwa anaficha TV kuonesha ni kitu cha thamani sana lakini ingekua ni china vingekua vitu vya kawaida
 
Simu yangu kioo kimepasuka sioni vizuri lakin ntachangia tu ivo ivo
Kiukwel huyo jamaa akamatwe ili iwe funzo Kwa wengine wenye tabia Kam hiyo ya kulawiti watoto imeniuma sana kiukwel inaumiza
 
No reform, no election ndo tunachoweza
 
Yeah niliisikia

Ilizinduliwa January mwaka huu sasa wanaingia kwenye mass production

Betavolt ni game changer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…