China yatengeneza betri ndogo za nyuklia zenye ukubwa wa sarafu

Yeah niliisikia

Ilizinduliwa January mwaka huu sasa wanaingia kwenye mass production

Betalovt ni game changer
Ndio maana Donald Trump anaongea kama kitoto kichokutwa kinaiba mboga jikoni 😁😁
Trump kasema hatua anazochukua japo zitaleta maumivu kwa wamarekani, wamarekani wajue ni sababu ya vita vya kiuchumi kutoka kwa wachina eti
 
Scam, niliwahi kudangamywa kitu kama hiki mda sana, hakuna battery ya namna hii, mostly watu wana post April fools.
 
Ndio maana Donald Trump anaongea kama kitoto kichokutwa kinaiba mboga jikoni 😁😁
Trump kasema hatua anazochukua japo zitaleta maumivu kwa wamarekani, wamarekani wajue ni sababu ya vita vya kiuchumi kutoka kwa wachina eti
Mr MAGA ameyatimba safari hii. Hiyo post anayosema hivyo anajifariji tu na kuwafariji Wamarekani

Ila ukweli ni kwamba Mr MAGA amefeli pakubwa sana. Mpaka sasa masoko ya hisa ya Marekani yameshapoteza trillion of dollars

Ametingisha meza yenye vinywaji vya gharama
​
 
πŸ”΅ Hawa ndio mnaowacheka kuwa hawana dini

πŸ”΅ Hawa ndio mnaowacheka kuwa wanakula kitimoto mlichodanganywa na mwarabu kuwa ni haearmu

πŸ”΅ Hawa ndio wanakula nyoka, mbwa, makonokono ambavyo mmedanganywa na Babu zenu kuwa ni haramu na nuksi
 
Bei ya simu itakuwa mara dufu.
Sisi watanzania tunakwama wapi kufanya tafiti na ugunduzi Kama huu.

Yaan watu wanaumiza kichwa kuja na new discoveries Ambazo zitatatua changamoto
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dah mkuu mbona unatusagia kunguni hivyo
 
Inapendeza...
Wale wazee wa kuchambua kama karanga ndani kuna nini, milipuko inawahusu...


Cc: Mahondaw
 
Sio kumuwaza tu ameshafeli labda aingie vitani mzimamzima ili dunia yote ipoteze... Vinginevyo marekani itakuja iwe kama Uingereza huku nguvu ikihamia kwa wakomunist
Hiyo ni kawaida. USA amekuwa super power kuanzia karne ya 20 kabla ya hapo zilikuwepo nyingine kama vile British Empire, Roman Empire, Turkey, Mongolia, Japan etc
 
Hizi ndizo akili kubwa, sio akili kubwa uchwara za humu kujiita GT unakaribia miaka 50 unachojua ni namna vitumbua vinavyotengenezwa halafu unasumbua watu na GT GT GT zako.
 
Imeandikwa haitakiwi kubomolewa ikija Tz sijui kama tutabaki salama
Hilo nalo ni neno. Wabongo tulivyo careless, hiyo betri itakujaleta balaa lenye maafa makubwa badala ya baraka na neema. Kwa nini? Wengi wetu hatusomi maelekezo ya mtengenezaji, simu ndo imekuwa toy ya kumbembeleza mtoto asilie, zipo ajali nying za simu kudondoka kwenye maji na maji hayo huendelea kutumika. Wengi wetu hatujui ni viwango gani vya mionzi ambavyo miili yetu inaweza kuhimili bila madhara e.g. saratani n.k.
 
Mpaka muda huu tumeona nafuu kwa asilimia kubwa sana sababu ya china... Wewe hushangai kipindi mabeberu wwmehodhi kila kitu nyerere mwenyewe alikuwa anaficha TV kuonesha ni kitu cha thamani sana lakini ingekua ni china vingekua vitu vya ka
😁😁😁
 
πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…