China yatia pembeni deni la Kenya hadi baadaye, mlisubiri sana kuona tukidondoka

Muwe mnaona na aibu nyakati nyingine. Kwani hamkusikia ule msemo wa wahenga usemao "dawa ya deni ni kulipa"? Hizo zingine ni mbwembwe tu.

Deni unalipa baada ya kucheza dana dana nalo, unachukua deni ufanikishe kitu fulani na hadi ukione kweli ndio ulipe, nyie deni walilochukua mababu zenu lile la TAZARA hadi leo hamjalipa mpaka mumeanza kuwita Wachina ndugu zenu wa damu wawasamehe, mbona huo ushauri wako wa kinafiki hamjautumia kwenye hilo deni.
 
Ni vizuri kama mnataka kutufuata kwenye kili. TZR hawajalipa hivyo basi SGR mtambo wa gongo kenya haitalipa.
 
Sijaelewa nini umeandika hapa, nahisi unateseka balaa hehehe ila ndio hivyo, nyie deni la mababu kwenye TAZARA limewashinda, halafu hiyo TAZARA kwa mlivyo wazembe haijawahi kuwapa faida, nilishangaa sana kusoma ni limradi lisilokua na tija yoyote miaka yote hiyo.
 
Dawa ya deni nikulipa tu hakuna namna
 
Kama ipi? Sisi tunajenga reli mpaka sasa 700+km zinajengwa tumesign tena 341km nyie SGR yenu ni km ngap?

Tunajenga bwawa kubwa la umeme litatoa 2115MW
Barabara zinazojengwa Kenya kunazo haitokuja muwe nazo hata miaka hamsini ijayo, acha asikuambie mtu hadi raha tu yaani.
Kama ipi? Sisi tunajenga reli mpaka sasa 700+km zinajengwa tumesign tena 341km nyie SGR yenu ni km ngap?

Tunajenga bwawa kubwa la umeme litatoa 2115MW ....Huo Ni zaidi ya 70% ya umeme wote mnaozalisha apo kenya? ...

Barabara madaraja tunajenga km kibao mijini na vijijini
 
Deni unalipa baada ya kucheza dana dana nalo, unachukua deni ufanikishe kitu fulani na hadi ukione kweli ndio ulipe, nyie deni walilochukua mababu zenu lile la TAZARA hadi leo hamjalipa mpaka mumeanza kuwita Wachina ndugu zenu wa damu wawasamehe, mbona huo ushauri wako wa kinafiki hamjautumia kwenye hilo deni.
Hahaha nimecheka sana[emoji23][emoji23]
 
Kama ipi? Sisi tunajenga reli mpaka sasa 700+km zinajengwa tumesign tena 341km nyie SGR yenu ni km ngap?

Tunajenga bwawa kubwa la umeme litatoa 2115MW Kama ipi? Sisi tunajenga reli mpaka sasa 700+km zinajengwa tumesign tena 341km nyie SGR yenu ni km ngap?

Tunajenga bwawa kubwa la umeme litatoa 2115MW ....Huo Ni zaidi ya 70% ya umeme wote mnaozalisha apo kenya?

Barabara madaraja tunajenga km kibao mijini na vijijini

Kwanza reli nyie hamna cha kuonyesha, mpo huko huwa tunaskia mnachimba chimba maporini, mliongopeana kasafu ka kilomita 200 katakua tayari mwaka juzi, leo bado sijui mumeganda wapi.

Sisi tunateleza na SGR kilomita 600km halafu sasa tutapiga hela moja kwa moja maana Mchina ameamua kutuliza kutudai, ukizingatia mapato yetu ya kodi yamefikia mara mbili yenu ndio buriani kabisa.
 
SGR haijaishia porini sema umeamua kuziba masikio na kufumba macho!! 2×2=4

SGR haijaishia porini sema umeamua kuziba masikio na kufumba macho!!

TRA ilikusanya 54.7% ya ilichokusanya KRA
 
Mpaka siku utakata tiketi ya kuteleza kwa SGR na uipachike humu ndio uje tuongee, vinginevyo hayo mengine ni ngonjera na sijakuzoea kuwa mtu wa ngonjera.

Hiyo 54.7% kwa ulimwengu wa wachumi haina tofauti na nusu.
 
MR CPAK uliiba mtihani nn? Mbona huongea matope namna hii? What's there to be proud about GoK failing to service her debt?
We will service the loan, don't worry. Sisi hatusemehewi madeni kama nyinyi
 
Wewe ni mlalahoi tu wenye mali hapo Kenya ni wazungu na wahindi. Nimeishi hapo Kenya sisi wenye pesa tulikuwa tunaishi Wesland pamoja na wazungu na wahindi lakini wakenya kama wewe ni kule kwenye mabanda ya kuku!! Lugha ya Kiingereza sawa na lugha yoyote ile ila wewe mbugila unafikiri ukiongea Kiingereza unajiona ni mzungu. Mimi lugha ya Kiingereza nimekuwa nayo lakini wala sina mpango nayo. Nimeishi UK na Ireland kwa muda mrefu lakini sibabaiki na kiingereza ila wewe kwa kuwa unamatatizo ya kitumwa ndiyo maana unapata taabu na Kiingereza.

Ukitafuta ndani ya matajiri kumi Kenya utakuta wote Waafrika weusi wabantu wazawa wa Kenya, ila ukitafuta Bongo matajiri 30 utakuta waarabu na wahindi, huko wabantu weusi hamna lolote asilimia 70%% ni walalahoi choka mbaya... na ndio maana omba omba wenu wengi huja kutusumbua huku.

Kingereza kina raha sana bana, tena ni mtaji kabisa huko Bongo maana hamkijui, wachahe wanaokijua wanapiga hela sana.
Uchumi wetu unaendelea kuzidi wenu mara mbili, sasa makusanyo ya KRA ymaepiga double ya kwenu...
 
Na ardhi asilimia kubwa huko anayo nani? Weusi wale mafisadi na wageni. .makapuku nyie nchi yenu mnaishi kama vile mmepangishwa
 
Kenya kainchi kadogo lakini kanawazidi mara mbili kiuchumi.
 
Nasikia hapo Kenya ardhi yote imeshikwa na mabwanyenye!

Nyie vinyangarika wa Kibera mnagaa gaa tu mitaani mmepokonywa ardhi yote na familia ya Kenyata na genge lake.

Duh!
 
Unaskia, nikiandika hapa ninayoyaskia ya Bongo kwamba mnavyotafuna albino na kunywa supu ya mifupa yao sijui kama kweli labda mnithibitishie.
 
Kenya kainchi kadogo lakini kanawazidi mara mbili kiuchumi.
Alisikika akisema mvimbiwa githeri na avocado kwenye fulu suti lake kibera........sema kanchi kadogo wanakokafaidi wachache nina uhakika tukijilinganisha mie na wewe .......wewe utakutwa na utapiamlo na stress za kunyea kwenye mifuko na kuitupa mitaroni
 
Wewe liinchi lote hilo madini ya kumwaga, gesi ya kumwaga raslimali kila kona na nchi yenyewe kubwa na kila mahali rotuba nzuri ila umaskini umetamalaki, mnaliwa hadi mifupa, mabeberu wanatumia uzembe wenu na kutokujua English kuwatafuna kila kitu.
Nilishangaa kuona uzi fulani humu watu wa Mtwara mpaka leo maskni wa kanda mbili na kushindia mihogo huku wakitazama gesi ikiwatoka kila siku, hovyoo sana nyie....aibu sana tunawazidi kiuchumi mara mbili ilhali hatuna madini na kainchi ketu kadogo.

Mnatuzidi na nani we choka mbaya tu hakuna Mkenya mwenye uchumi mzuri akawa anashinda humu JF kutoa povu nyie wote ndo wale kajamba nane we vimbia mali za mzungu ila we mwenyewe kapuku tu hapo danganyeni ambao hawajawahi kufika huko na kuona maisha yenu..........narudia tena hakuna Mkenya mwenye uchumi mzuri anaeshinda JF kutoa povu wakina nyie ndo wale washindia githeri na avocado hamna la kufanya sahv ndo maana kila siku kiguu na njia JF mnakuja kujifariji tu........njoo huku nikulishe mchele na nyama ya mbuzi utokomeze utapia mlo huo hadi wa kichwani
 
Halafu omba omba wenu wamekua kero huku, yaani siju mna gundu nyie, raslimali zote hizo lakini nchi ukata kila mahali, aidha itakua ujamaa uliwalemaza mkawa wazembe au sijui CCM au sijui nini haswa, huwa mnatia huruma kwa kweli. Haileti mantiki kanch kadogo kama Kenya kawazidi kiuchumi mara mbili, ilhali hatuna madini na hata zaidi ya nusu ya nchi yetu ni kame tupu....nyie aidha mumelaaniwa.
 
Back
Top Bottom