Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Wewe ni mfano wa ombaomba wa Kenya humu jukwaani.............ungenipigia hayo makelele kama ningekua sijawahi kufika huko ningesononeka sana ila nawafaham vyema sana makapuku nyie hakuna kitu ,huo utajiri unaopigia kelele ni wakina Kenyata tu na baadhi ya wazungu nyie wala githeri mifi matupu ndo maana mna roho nyeusi sababu mnapigika na maisha magumu......karibu mtakuja ya Jf tuwaondolee stress za kushinda kwenye nyumba za mabati na kwenda kujipooza kwenye mall ukitoka na ka pakti ka unga wakushindia nusu mwakaHalafu omba omba wenu wamekua kero huku, yaani siju mna gundu nyie, raslimali zote hizo lakini nchi ukata kila mahali, aidha itakua ujamaa uliwalemaza mkawa wazembe au sijui CCM au sijui nini haswa, huwa mnatia huruma kwa kweli. Haileti mantiki kanch kadogo kama Kenya kawazidi kiuchumi mara mbili, ilhali hatuna madini na hata zaidi ya nusu ya nchi yetu ni kame tupu....nyie aidha mumelaaniwa.