Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Hatimaye leo 10 July, China imeandika historia nyingine angani!
Roketi ya Long March 10B ilirushwa kutoka Hainan, na baada ya kutimiza kazi yake, booster ilirudi duniani kwa kutua wima kwenye jukwaa baharini badala ya kuharibika.
Hii ni teknolojia ya roketi zinazotumika tena (reusable rockets), inayopunguza kwa kiasi kikubwa gharama za kurusha satelaiti na misheni za anga.
Hatua hii inaonyesha kuwa China sasa inaingia moja kwa moja kwenye ushindani wa teknolojia ya juu iliyokuwa ikiongozwa na Marekani kupitia SpaceX na Blue Origin.