Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Tanzania kufikisha tu huduma muhim kwa wananchi ni ishu , ndio wamuige china? Bado bado sanaTanzania mnashindwaje kupiga chabo kama China?
Mentaly bado, economicaly bado sana
Tanzania kufikisha tu huduma muhim kwa wananchi ni ishu , ndio wamuige china? Bado bado sanaTanzania mnashindwaje kupiga chabo kama China?
Nchi za Afrika bado zinajadili uwezekano wa kuwa na satelaiti moja ya mawasiliano. PATHETIC!
Umesema vyema, unafikiri nini kifanyike?Tanzania kufikisha tu huduma muhim kwa wananchi ni ishu , ndio wamuige china? Bado bado sana
Mentaly bado, economicaly bado sana
Huwa sio rahisi hivyo bosi....Naelewa,but huyo marekani yeye unafikiri hafanyi juhudi zozote kuendelea kuwa super power?
Swali la kuduanzi Sana.Hivi hiyo marekani itaangushwa yenyewe ikiwa imesimama tu?
Tanzania inahitaji total overhaul, ninkama vile ununue engine mpya na ku swap entier electrical system ya gariUmesema vyema, unafikiri nini kifanyike?
Umemaliza mkuu, Tanzania imeoza kila kona bila total overhaul inapoelekea ni kubaya mno dalili zimeanza kuoneakana. Siasa kila mahali hadi kwenye elimuTanzania inahitaji total overhaul, ninkama vile ununue engine mpya na ku swap entier electrical system ya gari
Ukiona Marekani inaagiza bidhaa kutoka China basi ujue hizo bidhaa zinatengenezwa na viwanda vya wawekezaji wa kimarekani waliyowekeza China.Unauziwa kitu kulingana na pesa yako ndugu mbona marekani ananunua bidhaa za china?
Ninachokisema ndio ukweli wenyewe na anayebisha anabishia ushabiki tu.Unajaribu kupingana na ukweli,ukweli haupingiki
Si kweli, acha upotoshajiUkiona Marekani inaagiza bidhaa kutoka China basi ujue hizo bidhaa zinatengenezwa na viwanda vya wawekezaji wa kimarekani waliyowekeza China.
Bidhaa nyingi za kampuni za China za home appliances zinauzwa Marekani, mara nyingi chini ya brand zao wenyewe au kupitia chapa walizonunua. Baadhi ya zinazojulikana ni:Ukiona Marekani inaagiza bidhaa kutoka China basi ujue hizo bidhaa zinatengenezwa na viwanda vya wawekezaji wa kimarekani waliyowekeza China.
Wakati huohuo hizi feki zinazoletwa huku ndizo zinatengenezwa katika viwanda vya wachina wenyewe.
Kopi na wewe kama unaweza kama suluhisho ni kukopiMbona hii kakopy na kupaste ni kitu ambacho space X walishafanya zaidi ya miaka 10 iliyopita!!
Sio kweli wewe una ushabiki wa kitoto sana.Si kweli, acha upotoshaji
Nyingi ya bidhaa ambazo Marekani ina-import kutoka China ni za kampuni za China
Wewe kilaza kwani unaishi US au Europe ?Sio kweli wewe una ushabiki wa kitoto sana.
Ninaishi Didia madukani.Wewe kilaza kwani unaishi US au Europe ?
Kwahiyo kaa kwa kutuliaNinaishi Didia madukani.
Ila nimewahi kuishi kote huko hivyo katu mtu hanidanganyi.Kwahiyo kaa kwa kutulia
Kama unataka kujua supermarkets zote na trading estates zote za ulaya na marekani zinauza mzigo kutoka nchi gani?
Uliza wanaoishi huko sio unashoboka tu