Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Tanzania mnashindwaje kupiga chabo kama China?Mbona ni marudio tu hayo na hapo tayari wameshapiga chabo za kufa mtu.
Unaelewa maana ya neno fake?Kwenye maeneo mengi bidhaa zao nyingi bado ni feki
SpaceX wanatumia mfumo wa China wa kukamata roketi baharini kwa nyavu maalum?Mbona ni marudio tu
Ku_copy sio lazima kufuata njia ile ile bali ni ile idea. Kwamba wewe unakamata na nyavu bado haiondoi ukweli kuwa umechukua ile idea kuwa kumbe tukiweza kuiokota tunaweza kuitumia tena.China haiingii tu kwenye mashindano ya roketi zinazoweza kutumika tena (Reusable rockets)
Inaingia ikiwa na njia yake yenyewe, teknolojia yake yenyewe
China imetumia teknolojia tofauti imekuja na mfumo wake wa kukamata roketi baharini kwa nyavu maalumu
China haikufuata njia ya Marekani ya kutua roketi kwenye jukwaa ardhini. Haikucopy mfumo wa SpaceX.
Soma pia: China is unstopable! Historia iko wazi huwezi kuizuia China kwenye innovations. Usipoona ya TSS, na BeiDou utaona ya HarmonyOS na EUV
Unaelewa tofauti ya copy na innovation?Ku_copy sio lazima kufuata njia ile ile bali ni ile idea. Kwamba wewe unakamata na nyavu bado haiondoi ukweli kuwa umechukua ile idea kuwa kumbe tukiweza kuiokota tunaweza kuitumia tena.
Unajaribu kupingana na ukweli,ukweli haupingikiMbona ni marudio tu hayo na hapo tayari wameshapiga chabo za kufa mtu.
Kwenye maeneo mengi bidhaa zao nyingi bado ni feki, zenye teknolojia duni na ubora wa hali ya chini sana.
Angalia malori yao kama Shacman, Faw, Sinotruk - Howo yanavyowasumbua wanunuzi yaani ni shida tupu. China bado sana itawachukua karne nyingi kuja kufika walipo wazungu leo.
Waafrika tunawaza mlo wa kesho .....na kuiba rasilimali za ummaHatimaye leo 10 July, China imeandika historia nyingine angani!
Roketi ya Long March 10B ilirushwa kutoka Hainan, na baada ya kutimiza kazi yake, booster ilirudi duniani kwa kutua wima kwenye jukwaa baharini badala ya kuharibika.
Hii ni teknolojia ya roketi zinazotumika tena (reusable rockets), inayopunguza kwa kiasi kikubwa gharama za kurusha satelaiti na misheni za anga.
Hatua hii inaonyesha kuwa China sasa inaingia moja kwa moja kwenye ushindani wa teknolojia ya juu iliyokuwa ikiongozwa na Marekani kupitia SpaceX na Blue Origin.
VYOVYOTE VILE, CHINA INAFANYA VIZURI SANA KWENYE TECHNOLOGIA NA UCHUMI NA NDIO INAENDA KUWA DOLA YENYE NGUVU DUNIANI BAADA YA KUIANGUSHA MAREKANI MIAKA MICHACHE IJAYO.Mbona hii kakopy na kupaste ni kitu ambacho space X walishafanya zaidi ya miaka 10 iliyopita!!
Hivi hiyo marekani itaangushwa yenyewe ikiwa imesimama tu?VYOVYOTE VILE, CHINA INAFANYA VIZURI SANA KWENYE TECHNOLOGIA NA UCHUMI NA NDIO INAENDA KUWA DOLA YENYE NGUVU DUNIANI BAADA YA KUIANGUSHA MAREKANI MIAKA MICHACHE IJAYO.
HATA WAISLAM WAMEANDIKIWA KWENYE KITABU CHAO, WAKATAFUTE ELIMU CHINA...
Kuangushwa haimaanishi kupigana VITAHivi hiyo marekani itaangushwa yenyewe ikiwa imesimama tu?
Naelewa,but huyo marekani yeye unafikiri hafanyi juhudi zozote kuendelea kuwa super power?Kuangushwa haimaanishi kupigana VITA
Kama Nchi ilikuwa kinara wa Uchumi, ikatokea Nchi nyingine ikawa na Uchumi wenye Nguvu kuipita; maana yake imesha iangusha ile ya kwanza,. Mwenye Nguvu kubwa ya kiuchumi ndiye anakuwa msemaji wa Dunia...
Fuatilia dola zilizokuwa na nguvu kubwa Duniani ila zilikuja kuanguka....mfano;
1. Roman Empire
2. Ottoman Empire
3. The Mongol Empire nk nk nk
Unauziwa kitu kulingana na pesa yako ndugu mbona marekani ananunua bidhaa za china?Mbona ni marudio tu hayo na hapo tayari wameshapiga chabo za kufa mtu.
Kwenye maeneo mengi bidhaa zao nyingi bado ni feki, zenye teknolojia duni na ubora wa hali ya chini sana.
Angalia malori yao kama Shacman, Faw, Sinotruk - Howo yanavyowasumbua wanunuzi yaani ni shida tupu. China bado sana itawachukua karne nyingi kuja kufika walipo wazungu leo.
Ku_copy sio lazima kufuata njia ile ile bali ni ile idea. Kwamba wewe unakamata na nyavu bado haiondoi ukweli kuwa umechukua ile idea kuwa kumbe tukiweza kuiokota tunaweza kuitumia tena.