China yatoa waraka kuhusu jamii ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja

China yatoa waraka kuhusu jamii ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Ofisi ya Habari ya Baraza la Serikali la China imetoa waraka unaoitwa “Jamii ya Binadamu Yenye Mustakabali wa Pamoja: Mapendekezo na Hatua za China.”

Kwa mujibu wa waraka huo, miaka kumi iliyopita, Rais Xi Jinping wa China alitoa pendekezo la kujenga jamii ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja, ambalo lilitoa nuru wakati dunia ilipokuwa ikikabiliwa na hali ya sintofahamu, na kuwakilisha mchango wa China katika juhudi za kimataifa za kulinda dunia na kujenga siku za baadaye zilizo nzuri na ustawi wa pamoja.

Waraka huo umesema, ili kujenga jamii yenye mustakabali wa pamoja, binadamu wote, nchi zote, na kila mtu ni lazima kusimama pamoja katika shida na raha, na kusonga mbele kwa masikilizano zaidi katika dunia tunayoishi.

Waraka huo umetoa wito kwa juhudi zaidi katika kujenga dunia ya uwazi, jumuishi na nzuri itakayokuwa na amani ya kudumu, usalama kwa wote, na ustawi wa pamoja, na kufanya kweli haja ya watu ya kuwa na maisha bora.
 
Jamaa wanatumia njia zote right, left and center to penetrate and to win the surpot and will of Africa in economic, social, political, Technological and cultural spheres of lives.

Lakini pia china anafanya kila namna kumkabili Marekani ambae ndie mshindani wake wa karibu kwa kila nyanja, ambae pia anafanya jitihada zake kwa namna yake kujipenyeza na kukita mizizi yake Africa dhidi ya china.
 
Jambo jema,kikwazo hapa kuna dini zimejaa washezi


Ni kweli dini zenye watu wazuri ni hizi tu


1695699366917.jpeg



British Priest to marry Nigerian Male Model

 
Back
Top Bottom