China yatuma ndege 38 za kijeshi mpakani mwa Taiwan

Acha watoto wajeuri wanaoshirikiana na majambazi wafundishwe adhabu... Piga hao Ukraine, piga hao Taiwan
 
Baada ya hii vita ya Ukraine mataifa mengi yatawekeza kwenye kutengeneza silaha hatari. Nchi kama Taiwan, iachane na mambo mengine, iandae nyuklia mujarab na air defense system, baada ya hapo iendelee kula popcorn tuone kama Mchina atatia mguu. Ukraine avumilie haya yapite afu arudi jikoni akaangize nuclear ya kutosha, aweke mpaka ya kuonja, aboreshe mfumo wake wa ulinzi wa anga, hutasikia cha Belarus wala Russia.
 
π‚π¨π«π¨π§πš 𝐒𝐦𝐞-𝐩𝐫𝐨𝐯𝐞 𝐰𝐫𝐨𝐧𝐠 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐨𝐧𝐚 π›π¨π«πš 𝐳𝐒𝐩𝐒𝐠𝐰𝐞
 
China ni Mkwara tu.
 
China angeshambulia ndege ya Pelosi hata isingekuwa hatua nzuri, huenda ujio wa Pelosi utaiamsha China ngoja tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…