China yavunja na kubomoa misikiti kwa ajili ya matumizi ya kiserikali

China yavunja na kubomoa misikiti kwa ajili ya matumizi ya kiserikali

Usimtungie uongo mtume wa Mungu Wewe mjalaana
😅 😅 😅
Laana anazo mtume wenu alitesa na kuua watu kipindi cha uhai wake, ndo maana akafa kifo cha maumivu sana baada ya kuwa poisoned na mwanamke wa kiyahudi(zaynab).
Wakati anaugua kabla hajafa alimwambia mke wake aysha, "Nahic maumivu makali kana kwamba aorta yangu imekatw😅😅
Mtume ambaye kila siku mnamnenea neema baada ya kutaja jina lake eti S.A.W au "Peace be unto him" anakufa kifo kama hichi😅

Broo ukitaka kujifunza uislamu vizur usiishie kweny Quran tuu, soma na historia za miungu ya Mecca na watu wake, kuna mambo mengi sana ya kis*nge Muddy alifanya na hayapo kweny quran.
 
Unabwabwaja bwabwaja tu kama bwabwa.
Ongea kwa hoja na ushahidi.
Na ushahidi tunaupokea sisi ni kutoka kwenye Quran
Quran haiwez kuwa na hivi vitu, kitabu cha Muhammad kile, hawez kuwafichulia ukweli wote, uamuzi ni wako sasa.
 
😅 😅 😅
Laana anazo mtume wenu alitesa na kuua watu kipindi cha uhai wake, ndo maana akafa kifo cha maumivu sana baada ya kuwa poisoned na mwanamke wa kiyahudi(zaynab).
Wakati anaugua kabla hajafa alimwambia mke wake aysha, "Nahic maumivu makali kana kwamba aorta yangu imekatw😅😅
Mtume ambaye kila siku mnamnenea neema baada ya kutaja jina lake eti S.A.W au "Peace be unto him" anakufa kifo kama hichi😅

Broo ukitaka kujifunza uislamu vizur usiishie kweny Quran tuu, soma na historia za miungu ya Mecca na watu wake, kuna mambo mengi sana ya kis*nge Muddy alifanya na hayapo kweny quran.
Kila kitu kuhusu uislam kimo ndani ya Quran...huko kwingine unakoenda kuokoteza hizo stori ni kwenye propaganda za wala nguruwe na mashoga zako wazungu
 
Tatizo ni kumlazimisha mtu mwingine kufuata dini yako
Kila mtu afuate anachoamini
 
Mwafrika hakumjua Mungu kabla ya ujio wa dini.
Waliabudu wasichokijua.
Thus Kwa Sheria ya Mungu walioishi kabla ya dini watahukumiwa Kwa Sheria ya asili yaani matendo mema vs matendo mabaya.
Unajuaje kama hao walioleta dini ndio wanaomjua Mungu? Je washawahi kumuona au kutuonesha sisi huyo Mungu?

Hata wanaofata dini za kuletewa pia wanaabudu wasichokijua maana hawakuwahi kumuona huyo Mungu wao walioletewa kwa macho yao.

Je kama hao walioleta dini wanaamini na kuabudu mizimu ya mababu zao na kudai kuwa ni mungu wao, wewe utajuaje na wakati umehadithiwa na wewe ukakimbilia kupokea na kuamini.

Wachina wameona mbali kwa kukataa kuabudu miungu ya wenzao, na badala yake wame focus katika mambo yao.
 
Shida yangu siyo mnachokiabudu,swali langu ni kwa nini mnaloga wenzenu wakwame kimaisha
na kuwakaba usiku wakose usingizi ambao ni zawadi ya kila mtu kutoka kwa Mungu?
Mkiachana na dhana hiyo endeleeni na imani zenu za kuabudu miti maana hamvunji sheria.
Mbona ulichoandika hakieleweki my brother!! Ni nani alielogwa akwame kimaisha? Una ushahidi gani kuwa sisi ndio tuliomloga akwame kimaisha?

Unajua huu ujinga ulioandika hapa ndo unaotufanya wengi tuwaonge mkono wachina, pia tupingane na imani zenu ambazo mmeletewa ili mpambane na wenzenu (mwafrika kwa mwafrika au ndugu kwa ndugu).

Haiwezekani kila kitu ambacho kipo kinyume na matarajio yenu mkihusishe na uchawi. Mtu amekwama mwenyewe kimaisha aidha kwa sababu ya uzembe wake, elimu yake, uvivu wake, ujinga wake nk nyinyi mnakimbilia kuhusisha swala hilo na uchawi.

Mwisho wa siku anatokea mtu anakwambia kuwa yeye anaweza kukuombea ili kuutoa uchawi unaosababisha ukose kazi kumbe ndo anaenda kukupiga mazima yani hata kile kiakiba chako ulichoweka anakichukua na kukuacha solemba huna mbele wala nyuma.

Alioyafanya TB Joshua umeyasikia lakini? Nafikiri unakumbuka kuwa TB Joshua alikuwa kiongozi mkubwa wa kanisa, lakini kumbe alikuwa anabaka, anadhalilisha na kutapeli watu.

Sheikh Yahya kabla ya kufa katapeli watu kinoma nina imani hili pia unalijua.

Mungine kawawekea watu mafuta wakanyage wengine wakafa yeye akakusanya sadaka na familia yake, leo hii wanakula bata tu.

So mimi binafsi naamini Mungu yupo ni mmoja na wa kila mtu. Unaweza kumuomba ukiwa kazini, nyumbani, kitandani, kwenye gari na popote.

Hao miungu wa kwenye miti, wa waarab, wazungu, wayahudi mimi nawaona wa uongo tu.
 
Unajuaje kama hao walioleta dini ndio wanaomjua Mungu? Je washawahi kumuona au kutuonesha sisi huyo Mungu?

Hata wanaofata dini za kuletewa pia wanaabudu wasichokijua maana hawakuwahi kumuona huyo Mungu wao walioletewa kwa macho yao.

Je kama hao walioleta dini wanaamini na kuabudu mizimu ya mababu zao na kudai kuwa ni mungu wao, wewe utajuaje na wakati umehadithiwa na wewe ukakimbilia kupokea na kuamini.

Wachina wameona mbali kwa kukataa kuabudu miungu ya wenzao, na badala yake wame focus katika mambo yao.
Kilicho dhaifu ufa dhidi ya kilichobora
 
Back
Top Bottom