Satirical Yet Awesome
JF-Expert Member
- Oct 11, 2023
- 629
- 1,688
- Thread starter
-
- #261
π π πUsimtungie uongo mtume wa Mungu Wewe mjalaana
Hao wanaosali uchi watakuache na matendo mema sasaUnaongelea dini ipi? Maana nasikia kuna dini wanasali uchi. Mpapaso.
Quran haiwez kuwa na hivi vitu, kitabu cha Muhammad kile, hawez kuwafichulia ukweli wote, uamuzi ni wako sasa.Unabwabwaja bwabwaja tu kama bwabwa.
Ongea kwa hoja na ushahidi.
Na ushahidi tunaupokea sisi ni kutoka kwenye Quran
Si ni dini? Na wanaiishi? Umesema ukiishi dini huwezi kuwa na matendo mabaya.Hao wanaosali uchi watakuache na matendo mema sasa
Sasa unasalije uchi kama sio ushirikana maana hizo ni ibada za wachawiSi ni dini? Na wanaiishi? Umesema ukiishi dini huwezi kuwa na matendo mabaya.
Unaelewa maana ya dini lakini boss?Sasa unasalije uchi kama sio ushirikana maana hizo ni ibada za wachawi
Dini zipo za Mungu na za shetan content ndo hazifananiUnaelewa maana ya dini lakini boss?
Unafahamu tafsiri ya dini boss? Ukisema dini unachomaanisha.Dini zipo za Mungu na za shetan content ndo hazifanani
Dini ni njia ya kweli na uzima ya mwanadamu kumtafuta MunguUnafahamu tafsiri ya dini boss? Ukisema dini unachomaanisha.
Ok bossDini ni njia ya kweli na uzima ya mwanadamu kumtafuta Mungu
Lete maana yakoOk boss
Ya kwako inatosha kuhitimisha mjadala boss.Lete maana yako
Kila kitu kuhusu uislam kimo ndani ya Quran...huko kwingine unakoenda kuokoteza hizo stori ni kwenye propaganda za wala nguruwe na mashoga zako wazunguπ π π
Laana anazo mtume wenu alitesa na kuua watu kipindi cha uhai wake, ndo maana akafa kifo cha maumivu sana baada ya kuwa poisoned na mwanamke wa kiyahudi(zaynab).
Wakati anaugua kabla hajafa alimwambia mke wake aysha, "Nahic maumivu makali kana kwamba aorta yangu imekatwπ π
Mtume ambaye kila siku mnamnenea neema baada ya kutaja jina lake eti S.A.W au "Peace be unto him" anakufa kifo kama hichiπ
Broo ukitaka kujifunza uislamu vizur usiishie kweny Quran tuu, soma na historia za miungu ya Mecca na watu wake, kuna mambo mengi sana ya kis*nge Muddy alifanya na hayapo kweny quran.
Quran ni kitabu Cha Mungu kisicho na shakaQuran haiwez kuwa na hivi vitu, kitabu cha Muhammad kile, hawez kuwafichulia ukweli wote, uamuzi ni wako sasa.
Unajuaje kama hao walioleta dini ndio wanaomjua Mungu? Je washawahi kumuona au kutuonesha sisi huyo Mungu?Mwafrika hakumjua Mungu kabla ya ujio wa dini.
Waliabudu wasichokijua.
Thus Kwa Sheria ya Mungu walioishi kabla ya dini watahukumiwa Kwa Sheria ya asili yaani matendo mema vs matendo mabaya.
Mbona ulichoandika hakieleweki my brother!! Ni nani alielogwa akwame kimaisha? Una ushahidi gani kuwa sisi ndio tuliomloga akwame kimaisha?Shida yangu siyo mnachokiabudu,swali langu ni kwa nini mnaloga wenzenu wakwame kimaisha
na kuwakaba usiku wakose usingizi ambao ni zawadi ya kila mtu kutoka kwa Mungu?
Mkiachana na dhana hiyo endeleeni na imani zenu za kuabudu miti maana hamvunji sheria.
Kilicho dhaifu ufa dhidi ya kilichoboraUnajuaje kama hao walioleta dini ndio wanaomjua Mungu? Je washawahi kumuona au kutuonesha sisi huyo Mungu?
Hata wanaofata dini za kuletewa pia wanaabudu wasichokijua maana hawakuwahi kumuona huyo Mungu wao walioletewa kwa macho yao.
Je kama hao walioleta dini wanaamini na kuabudu mizimu ya mababu zao na kudai kuwa ni mungu wao, wewe utajuaje na wakati umehadithiwa na wewe ukakimbilia kupokea na kuamini.
Wachina wameona mbali kwa kukataa kuabudu miungu ya wenzao, na badala yake wame focus katika mambo yao.
Ni kweli, si unaona China imekuwa na uchumi bora baada ya kujitambua na kuachana na imani (dini) dhaifu za kuletewa.Kilicho dhaifu ufa dhidi ya kilichobora