Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Unabwabwaja bwabwaja tu kama bwabwa.Allah sio mungu mpya broo, Allah before Muhammad alikuwa anaabudiwa kama moon god kweny kabila la Muhammad palepale kwao Mecca, na sio Allah tuu tuu, pale Mecca kulikuwa na miungu 360, mmoja wapo ndo alikuwa Allah, Muhammad alichofanya ni kugeuza watu kumwabudu Allah kama mungu wa peponi na sio kama moon god kama hapo awali.
Ndo maana kuna practices kama kuzunguka pale Kaaba mara saba, practices ambazoo Muhammad alizitoa kwa haohao aliowakuta wakimwabudu Allah pamoja na miungu mengine kama Al-Lat, Al-Uzza na Al-Manat, hawa walikuwa considered kama watoto wa Allah, Muhammad mwenyew aliwakubali kwamba ni watoto wa Allah kweny Ibn Ishaq, pp. 165-166. The "Satanic Verses" that Muhammad recited to the Meccans were part of Chapter 53, entitled "The Star," beginning with verse 19: "Do you see Al-Lat, and Al-Uzza and Manat the third idol besides? They are the Sublime Birds and their intercession is desirable indeed!" Sublime Birds has been rendered as high-flying cranes or swans, suggesting they are fly- ing upwards to God, then baadae akakanusha😅, mtume gani asiyejielewa, anabadilisha badilisha maneno aliyosema mwenyew.
Ongea kwa hoja na ushahidi.
Na ushahidi tunaupokea sisi ni kutoka kwenye Quran